Mbunge Jimbo la Singida Magharibi Mhe. Elibariki Kingu atoa mifuko 300 ya cement

PendoLyimo

JF-Expert Member
Sep 30, 2014
879
956
Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi Mhe. Elibariki Kingu leo ameshiriki Kongamano kubwa la Jitimah lililofanyika Jimboni kwake. Amewachangia Waislamu wa Mtavira na Ihanja Mifuko 300 ya cement na Ng'ombe kwa ajili ya kitoweo.

Lengo la Kongamano hilo lilihusisha Washiriki kutoka Nchi za Kenya, Sudan na Zanzibar lina lengo la kuhamasisha watu kulinda amani na kutenda matendo mema.
 
Back
Top Bottom