Mbunge Jeremiah Sumari afariki dunia

RIP mh.mbunge,tunakuombea uzima wa milele huko uendako!
 
Poleni wafiwa, mtoto wake wa kiume nadhani kaowa kwa lowasa? au vinginevyooooo...
 
Pole kwa wafiwa wote!
RIP Jeremiah!
 
Wakuu naona bado ni tetesi... Maana kila nikimpigia mtu wa karibu nae hakuna hata mmoja mwenye taarifa za msiba wake ila wanadhibitisha kuwa alikuwa kalazwa MOI. Ebu mwenye tarifa za uhakika atujuze kwa undani zaidi
 
R.I.P. Jerimia, punzika kwa amani. kama utaongeza speed utamkuta Regia njiani. wasiwasi ni kwamba mkifika njia panda kila moja ataenda njia yake!
Mmoja mkono wa kuume
Mmoja mkono wa kushoto.
Rest In Peace.
 
Ee Mwenyezi Mungu mpumzishe mahali pema peponi!!
 
Rip sumari!poleni ndugu jamaa na marafiki pamoja na wananchi wa arumeru mashariki!rip hon.
 
Wakuu naona bado ni tetesi... Maana kila nikimpigia mtu wa karibu nae hakuna hata mmoja mwenye taarifa za msiba wake ila wanadhibitisha kuwa alikuwa kalazwa MOI. Ebu mwenye tarifa za uhakika atujuze kwa undani zaidi
Mkuu kuna mtoa taarifa humu amesema source ni MOI! Unajua tena JF ipo kila mahali hata hapo ulipo ipo(yaani wewe!).anyway Invisible huwa halali ata confirm soon!
 
duh mbona sasa majonzi ju ya majonzi inakuwa bandika bandua
poleni wafiwa
 
Je ni kweli? we want some body o confirm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…