Mbunge Jeremiah Sumari afariki dunia

Kafariki lini! R.I.P sumary ! Ataziktwa wap na lini? Msiba upo wap?

Makubwa haya!!

Na uchaguzi wa kuziba nafasi yake umefanyika leo na Joshua Nassari wa Chadema ndio mbunge mpya.

By the way vipi ndugu ulikuwa North Korea?
 
wananchi wake wamekosa uwakilishi bungen nadhan sasa ni muda wananchi wapatiwe wanahokitaka mbunge makini kutoka chadema!!! i bet ccm kwa kujua hawatashinda watasema jimbo libaki wazi mpaka next election!!!
 
Mkuu bona, hivi uko dunia hii hii?!.
P.
 
Sijaelewa dhumuni la huu uzi ni nini kukumbusha msiba.
 
wananchi wake wamekosa uwakilishi bungen nadhan sasa ni muda wananchi wapatiwe wanahokitaka mbunge makini kutoka chadema!!! i bet ccm kwa kujua hawatashinda watasema jimbo libaki wazi mpaka next election!!!

bongo ndo nchi,sitoki bongo
 
Sasa alifufuka lini na aliendelea tena kutibiwa?

Kwa hiyo akizikwa hatafufuka tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…