Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,331
- 14,262
Ndio maana Wananchi sasa hivi hatupendi kufuatilia bunge.Walitangaze ziwa tumelipokea!! hivi Mheshimiwa waziri hakuna mengine ya kupokea hadi hili nalo mnalipokea au????
Au mnataka zitungwe sheria za ukisikika unaita dagaa wa kigoma upigwe faini??
Kwani kuna asiyejua kigoma kuna ziwa gani?
Hivi vinatangazana vyenyewe! Ukisema dagaa wa kigoma umetangaza ziwa Tanganyika na mkoa wa Kigoma. Rukwa wana ziwa lao nao.hata hivi sehemu kubwa ya ziwa tanganyika ipo mkoa wa kigoma na siyo Rukwa.
Au mnataka tuanze kusema pia dagaa wa Victoria?? Tuache kusema dagaa wa bukoba na dagaa wa Mwanza??? Hoja zingine jamani