Mbunge: Dagaa wa Kigoma waitwe Dagaa wa Ziwa Tanganyika kulitangaza ziwa

Walitangaze ziwa tumelipokea!! hivi Mheshimiwa waziri hakuna mengine ya kupokea hadi hili nalo mnalipokea au????

Au mnataka zitungwe sheria za ukisikika unaita dagaa wa kigoma upigwe faini??

Kwani kuna asiyejua kigoma kuna ziwa gani?
Hivi vinatangazana vyenyewe! Ukisema dagaa wa kigoma umetangaza ziwa Tanganyika na mkoa wa Kigoma. Rukwa wana ziwa lao nao.hata hivi sehemu kubwa ya ziwa tanganyika ipo mkoa wa kigoma na siyo Rukwa.

Au mnataka tuanze kusema pia dagaa wa Victoria?? Tuache kusema dagaa wa bukoba na dagaa wa Mwanza??? Hoja zingine jamani
Ndio maana Wananchi sasa hivi hatupendi kufuatilia bunge.
 
Nadhani kinachosababisha kuitwa dagaa wa Kigoma au Mwanza ni kwa kuwa ndiyo vituo usafirishaji wake unapoanzia na siyo ukubwa wa eneo wanapovuliwa. Kwa hiyo kama watasafirishwa kutoka Bukoba au Musoma wataitwa dagaa wa Bukoba au Musoma.

Kuhusu Ileje hatuna ziwa, bali tuna mito kadhaa!
Sawa basi! somehow tunaelewana. Na bila shaka utakubaliana nami kuwa wanaitwa dagaa wa kigoma kwani wanavuliwa kigoma kwenye ziwa Tanganyika na wanaitwa dagaa wa mwanza coz wanavuliwa mwanza kwenye ziwa Victoria. Anyway nadhan tupo tupo pamoja ndamu wangu!
 
Ndio akili zao

20211103_111607.jpg
 
Mazuzu wamevimbiwa tozo. Sasa wanaanza kuropoka tu.
Dagaa wa Kigoma kwani wanatoka wapi? Huyo zuzu anatakiwa achapwe viboko
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom