haijalishi kama amesema au hajasema yeye huyo mbunge. Matazamo wangu kwa wabunge ni kuwa ni kazi ambayo inalipa sana kuliko hata kazi nyingine au kwenye sekta nyingine 2meona au 2naona jinsi watendaji mbalimbali wakurugenzi,wakuu wa mikoa,wahadhiri na watendaji wengi sana ama walijaribu na wengine wamethubutu kuacha kazi kusudi wagombee ubunge,WABUNGEwengine kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu walithubutu kulalamika kuwa kuna watu wanajipitisha kwenye 'majimbo yao'.SWALI je ubunge haulipi? NA KAMA HAULIPI
{1} KWA NINI WENGI WAO WANAACHA TAALUMA ZAO NA WANAKIMBILIA HUKO ?
{2}MBONA HAWAJIUZULU AU KUACHA KAZI HIYO KAMA MASLAHI MADOGO?
{3}KWA NINI KIPINDI CHA UCHAGUZI WANATUMIA PESA NYINGI SANA KWA TAKRIMA NA RUSHWA? .