Mbunge Catherine Magige yuko maji ya shingo uchaguzi UWT Arusha

Mbunge Catherine Magige yuko maji ya shingo uchaguzi UWT Arusha

waambie wazichukue halafu wamtie adabu kwenye sanduku la kura, na hao wanaopewa pigeni mawe mkiulizwa waambien polisi tumepinga rushwa wala hamtafungwa

Ajifunze kwa wenzake kina Ester Bulaya wanasimama wao jimboni,siyo anasumbua watu hapo
 
Hivi huyu Catherine ndio mke wa Hamis Kagasheki?

Na uchaguzi wa Viongozi wa CCM na taasisi zake si huwa unakuaga miaka miwili baada ya uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani?? yaani 2017
 
Takukuru arusha naomba kuuliza Alex magige mdogo wa damu wa Catherine magige ambaye Ni mbunge wa viti maalumu mkoani arusha kupitia uvccm anagawa rushwa kama njugu,Yuko na gari Noah nyeusi mitaa ya kaloleni muda huu ,fedha inagawiwa kama njugu kwa maelekezo ya Catherine hii inatisha Kuna mil 20 kwenye gari Hilo sasa hivi Wako tenki la maji wanakimbia maeneo ya mkusanyiko kwa kuwa Leo Catherine simu zake zote zimeshikiliwa na takukuru.

acha wivu,kama umekosa mgao kaa kimya
 
Asee naona mshaanza kumchokoa pweza sasa. . . . . .eti bi mdogo
 
wa mkate tu, either kwa kupiga kula au hata kwa wino...hatutaki watu wanaojichubua tena ndani ya siasa. jitu lina jichuna kama linajiuza vile halafu ndo linaingia bungeni na kutoa taswira ya nchi na aina ya wanawake katika vyombo vya habari vya kimataifa
 
Huyu Catherine alikuwa mwanafunzi wangu Enzi hizo pale Arusha Meru secondary, Pia ni mtoto wa Mwalimu Valentine Magige.

Kumbe ni kikongwe tofauti na hoja zako za kitoto humu.
 
wa mkate tu, either kwa kupiga kula au hata kwa wino...hatutaki watu wanaojichubua tena ndani ya siasa. jitu lina jichuna kama linajiuza vile halafu ndo linaingia bungeni na kutoa taswira ya nchi na aina ya wanawake katika vyombo vya habari vya kimataifa

Punguza wivu, viti maalum hawana kazi bungeni wengi ni kazi ya kugonga meza na kuitikia ndioooooo tu, sasa ni bora watoto wakare kama Catherine ndio wapewe nafasi hizi ili kuupamba mji wa dodoma.
 
kama kura za maoni hajiamini kama atapita, je ktk uchaguz mkuu atagawa sh. ngapi ?

hilo jimbo ni mtaji wa ukawa.
 
kama kura za maoni hajiamini kama atapita, je ktk uchaguz mkuu atagawa sh. ngapi ?

hilo jimbo ni mtaji wa ukawa.

Uchaguzi wa viti maalum ni kwenye kura za maoni tu, kuingia bungeni wanasubili mgao wa viti kutoka tume ya uchaguzi kutokana na kura walizovuna kila chama.

So far ccm ikinyimwa kura hata hawa wabunge chupi wa ccm watapunguzwa pia kwenye kukokotoa mgawanyo wa wabunge chupi.
 
Matola sawa, lkn bado kazi anayo wkt wa kampeni na wenzake wanao wania majimbo.

watazomewa sn.
 
Last edited by a moderator:
hivi ccm bado wanahangaika tu na uchaguzi! hawa wote ni wasindikizaji tu wa ukawa.
 
Aisee , kazi kweli kweli na Mr. wake tangu aachie ngazi kwa issue ya tokomeza sijui kama kule bukoba watampitisha, wajiandae kuwa wajasiriamali maisha yatasonga tu.
 
Back
Top Bottom