Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,384
- 11,284
Punguza wivu, viti maalum hawana kazi bungeni wengi ni kazi ya kugonga meza na kuitikia ndioooooo tu, sasa ni bora watoto wakare kama Catherine ndio wapewe nafasi hizi ili kuupamba mji wa dodoma.
Kamji kalipendeza haswa alipoingia yeye na Vicky Kamata, tulibung'aa tulipoona chain za Gold miguuni hasa kwa waheshimiwa vipusa hawa, ikilinganishwa na wengine waliotoka mahali kwungune kiitikadi