Mods msitoe uzi huu
bunge la jioni hii mwenyekiti kaendesha bunge kihuni na aikubariki kwa maslahi ya watanzania kwa-;
1. jinsi alivyomaliza hoja ya Bulaya
2. Kukataa mwongozo wa kigwangala
wanaoafiki waseme ndio "ndiooooo"
Nimemkubali sana Mh. Zungu... waliotaka kuondoa shillingi hawakuwa na hoja zenye mshiko... bali ushabiki tu... kama wenyeviti wote wangekuwa hivi Bunge letu lingekuwa na heshima sana.
kwa kuvunja kanuni na sheria za bunge??Nimemkubali sana Mh. Zungu... waliotaka kuondoa shillingi hawakuwa na hoja zenye mshiko... bali ushabiki tu... kama wenyeviti wote wangekuwa hivi Bunge letu lingekuwa na heshima sana.