mbunge atimuliwa kwao....

mbunge atimuliwa kwao....

Joined
Jan 2, 2013
Posts
16
Reaction score
3
Mbunge wa jimbo la rombo (chadema)joseph selasini amehamua kupangisha nyumba na kabinti kadogo (jina tunalo)mwanafuzni wa cuo cha uuguzi huruma kweli maendeleo ndio haya wabunge wengine waige
Taarifa za kuaminika toka katika familia ya mbunge huyo zinadai kuwa alifukuzwa nyumbani toka alipofiwa na wazazi wake na hapo ndipo ndugu zake walimuamuru aache kutinda nyusi na kufanya scrub na facial badala yake atafute eneo ajenge kwake lakini kwa sasa ameshaanza kujenga ila sijui kwa kuwa ana wivu sana na mpenzi wake huyo mpya kwani yupo naye (gheto)muda mwingi
Taarifa kutoka kiliwater kwa mfanyakzi mmoja ambaye ni diwani wa halamshauri hiyo amemlaumu mbunge huo kwa kubwatuka bungeni kwa kuwa mdomo haulipiwi kodi na kulalamika kuwa hamna maji ya kiliwater wakati yeye aliomba kama mtu wa kawaida na hivyo asingepaswa kutumia muda huo bungeni kwa ajili ya maslahi yake binafsi
“Ila namshukuru sana kwa ujinga anaofanya huku rombo siku zake zinahesabika na hao mabinti wa watu wanapoteza muda wao bila kujijua”alisema diwani huyo huku akiwa amelewa chakari na chupa yake ya bia ya Kilimanjaro.
Jicho la wazawa linatoa maoni kuwa mbunge selasini sio maarufu kama anavyofikiria ila afanye majukumu yake kama alivyowaahidi wananchi wa jimbo la rombo na sio kupenda kuandikwa kila kukicha kwenye vyombo vya habari
Kuonyesha udhaifu ulio nao sio tu katika jimbo bali hata katika chama na ngazi ya kitaifa ulivuliwa nafasi yako ya uwaziri kivuli wa ulinzi na jeshi la kujenga taifa hiyo ni sehemu ya cv yako kushuka wananchi wa rombo na wanachama walitarajia mambo mengi sana kutoka kwako lakini imekuwa ni tofauti sasa umeonekna kana kwamba ni gamba la rombo kama ulivyobatizwa
Plz jitahidi tafadhari
 
siku hizi hakuna tena maliwato za bure umeona uje kujisaidia humu jf.
kwani wewe mbunge tajwa hapo juu una uhusiano naye?je?yaliyosemwa ni uongo? kama ni kweli unadhani ni sahihi kwa kiongozi mkubwa kama mbunge kuwa na tabia kama hiyo?any way; hata hivyo mleta taarifa anatakiwa athibitishe ukweli wa taarifa yake.
 
Aisee tarimo tumekuchoka humu jamvini na vijiabari vyako vya kijinga mara mapolisi wametoka out na majambazi? Na kaujinga kengine haka tena.
Sasa nenda pale kwa Kavishe mwambie akupime akili kwa kubwa moja nalipa meku.
 
msimbeze ,mleta mada,kama habari ni za kweli ana haki ya kusema
 
Shida ni kwamba ameiandika utadhani ni udaku,majungu,au wivu..ndiyo tatizo.
Kashindwa kuthibitisha kukataliwa kwake jimboni.. kaamua kujaza hekaya zisizo na kichwa wala miguu..
 
Mbunge wa jimbo la rombo (chadema)joseph selasini amehamua kupangisha nyumba na kabinti kadogo (jina tunalo)mwanafuzni wa cuo cha uuguzi huruma kweli maendeleo ndio haya wabunge wengine waige
Taarifa za kuaminika toka katika familia ya mbunge huyo zinadai kuwa alifukuzwa nyumbani toka alipofiwa na wazazi wake na hapo ndipo ndugu zake walimuamuru aache kutinda nyusi na kufanya scrub na facial badala yake atafute eneo ajenge kwake lakini kwa sasa ameshaanza kujenga ila sijui kwa kuwa ana wivu sana na mpenzi wake huyo mpya kwani yupo naye (gheto)muda mwingi
Taarifa kutoka kiliwater kwa mfanyakzi mmoja ambaye ni diwani wa halamshauri hiyo amemlaumu mbunge huo kwa kubwatuka bungeni kwa kuwa mdomo haulipiwi kodi na kulalamika kuwa hamna maji ya kiliwater wakati yeye aliomba kama mtu wa kawaida na hivyo asingepaswa kutumia muda huo bungeni kwa ajili ya maslahi yake binafsi
"Ila namshukuru sana kwa ujinga anaofanya huku rombo siku zake zinahesabika na hao mabinti wa watu wanapoteza muda wao bila kujijua"alisema diwani huyo huku akiwa amelewa chakari na chupa yake ya bia ya Kilimanjaro.
Jicho la wazawa linatoa maoni kuwa mbunge selasini sio maarufu kama anavyofikiria ila afanye majukumu yake kama alivyowaahidi wananchi wa jimbo la rombo na sio kupenda kuandikwa kila kukicha kwenye vyombo vya habari
Kuonyesha udhaifu ulio nao sio tu katika jimbo bali hata katika chama na ngazi ya kitaifa ulivuliwa nafasi yako ya uwaziri kivuli wa ulinzi na jeshi la kujenga taifa hiyo ni sehemu ya cv yako kushuka wananchi wa rombo na wanachama walitarajia mambo mengi sana kutoka kwako lakini imekuwa ni tofauti sasa umeonekna kana kwamba ni gamba la rombo kama ulivyobatizwa
Plz jitahidi tafadhari

Mimi sijakuelewa:-

Je, una lalalmika kitu gani??

Je, huyo mbunge naye ni Mwanachama hapa JF, ndio umeamua kuleta msg hii??

Je, Hao ndugu zake ulioongea naye wamekutuma ulete uzi huu hapa JF??

Nilitarajia utasema kuwa amehama Jimboni haonekani, kumbe mpo naye huko Rombo na mnamuona kila siku, kwa nini usimwambie face kwa face badala ya kuleta majungu hapa JF??

Mwisho nampongeza Mbunge huyo kwa kuamua kuishi Jimboni mwake, tofauti na wabunge wengine wa majimbo ya mikoani lakini wanaishi DSM.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Mbunge wa jimbo la rombo (chadema)joseph selasini amehamua kupangisha nyumba na kabinti kadogo (jina tunalo)mwanafuzni wa cuo cha uuguzi huruma kweli maendeleo ndio haya wabunge wengine waige
Taarifa za kuaminika toka katika familia ya mbunge huyo zinadai kuwa alifukuzwa nyumbani toka alipofiwa na wazazi wake na hapo ndipo ndugu zake walimuamuru aache kutinda nyusi na kufanya scrub na facial badala yake atafute eneo ajenge kwake lakini kwa sasa ameshaanza kujenga ila sijui kwa kuwa ana wivu sana na mpenzi wake huyo mpya kwani yupo naye (gheto)muda mwingi
Taarifa kutoka kiliwater kwa mfanyakzi mmoja ambaye ni diwani wa halamshauri hiyo amemlaumu mbunge huo kwa kubwatuka bungeni kwa kuwa mdomo haulipiwi kodi na kulalamika kuwa hamna maji ya kiliwater wakati yeye aliomba kama mtu wa kawaida na hivyo asingepaswa kutumia muda huo bungeni kwa ajili ya maslahi yake binafsi
"Ila namshukuru sana kwa ujinga anaofanya huku rombo siku zake zinahesabika na hao mabinti wa watu wanapoteza muda wao bila kujijua"alisema diwani huyo huku akiwa amelewa chakari na chupa yake ya bia ya Kilimanjaro.
Jicho la wazawa linatoa maoni kuwa mbunge selasini sio maarufu kama anavyofikiria ila afanye majukumu yake kama alivyowaahidi wananchi wa jimbo la rombo na sio kupenda kuandikwa kila kukicha kwenye vyombo vya habari
Kuonyesha udhaifu ulio nao sio tu katika jimbo bali hata katika chama na ngazi ya kitaifa ulivuliwa nafasi yako ya uwaziri kivuli wa ulinzi na jeshi la kujenga taifa hiyo ni sehemu ya cv yako kushuka wananchi wa rombo na wanachama walitarajia mambo mengi sana kutoka kwako lakini imekuwa ni tofauti sasa umeonekna kana kwamba ni gamba la rombo kama ulivyobatizwa
Plz jitahidi tafadhari

Ama kweli hizi shule za kata zitatugharimu sana! Kijana kajipange upya na uandike kwa utulivu hicho ulichokusudia kukiwasilisha jukwaani!!!
 
JICHO LA WAZAWA

Yaani siku ya leo umeamua kuandika majungu tu hapa JF.

Toka asubuhi mada zako zote ni za Uzushi. NEnda ukalale kama huna kazi ya kufanya.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Last edited by a moderator:
siku hizi hakuna tena maliwato za bure umeona uje kujisaidia humu jf.
Mamndenyi kwani wee hujui Mungu alipochoka kuumba akaanza kusinzia, badala ya kuchukua udongo, akachukua kinyesi cha nguruwe na kuwaumbia baadhi ya watu.
Kwa hiyo no need to ask complex questions kwa watu wa aina hiyo.
 
Last edited by a moderator:
mamndenyi kwani wee hujui mungu alipochoka kuumba akaanza kusinzia, badala ya kuchukua udongo, akachukua kinyesi cha nguruwe na kuwaumbia baadhi ya watu.
Kwa hiyo no need to ask complex questions kwa watu wa aina hiyo.

sawa mkuu buji buji,,
tupo pamoja
 
Mamndenyi kwani wee hujui Mungu alipochoka kuumba akaanza kusinzia, badala ya kuchukua udongo, akachukua kinyesi cha nguruwe na kuwaumbia baadhi ya watu.
Kwa hiyo no need to ask complex questions kwa watu wa aina hiyo.

Walioumbwa kwa udongo,udongoni watarudi.Walioumbwa kwa kinyesi,kinyesini watarudi.
 
Last edited by a moderator:
Kashamaliza kujenga mkuu alihamia siku ya Xmass maana kwake amewekeana mpaka na Kinapa pamoja na kaka yake Lamwai, sema watu wanamzushia mambo mengi sana ya uongo
 
Bora umesema mkuu! Watu ni kupost uharo hapa daily kuhusu mh mbunge! Kila ciku tupo naye jimboni anapiga kazi bt uzushi juu yake hauishi tuu!
 
kama issue ni nyumba ndogo hakuna kiongozi msafi!!

au unataka tukuorodhosheeeee!!

tuanze na baba mwenye nyumba?
 
Magamba bwana kwahyo nyie mmebaki kufatilia maisha bnafs ya makada wa chadema ilan yenu vp? Mmeshamalza kutekeleza ahad zenu? Sku znasonga mtajbu nn mkwele atampa wakat mgumu sn mgombea wenu wa urais 2015. Kuwen makn.
 
Ni kweli lakini mada yako umeiandika kimajungu/kimbea(kishangingi) zaidi.
Toa hoja zenye kuthibitika pasi na kuacha shaka.
 
Back
Top Bottom