mbunge atimuliwa kwao....

mbunge atimuliwa kwao....

unachoandika kina uhusiano gani na ubunge?
thats more personal kwani mbunge ni padri?
kale mangararimo na kiburu pale kiboro au mrere
kishoia kabisa
watu wengine hovyoooo kabisa
 
najutaa! kupoteza muda wangu kusoma ujinga huu
 
kwani wewe mbunge jajwa hapo juu una uhusiano naye?je?yaliyosemwa ni uongo? kama ni kweli unadhani ni sahihi kwa kiongozi mkubwa kama mbunge kuwa na tabia kama hiyo?any way; hata hivyo mleta taarifa anatakiwa athibitishe ukweli wa taarifa yake.
hiyo ndio nini sasa na wewe betlehemu? au ulikuwa na haraka ya kukimbia uharo uliowekwa hapo juu?
 
Wakisema taja wajinga wa humu jf huyu jamaa yumo kwa nn unapenda kufuatilia maisha ya watu,we n mjinga na mpumbavu,umedai huyu diwan alikuwa kalewa na bia ya kilimanjaro ndo anaropoka sasa ww unamin maneno ya mlev unaleta huku sasa ww ndo mlevi!usilete umbea huu uku wa kuchunguza maisha ya watu
 
duh;; nilijuaga matusi yote ya zamani kumbe bado kuna watunzi wa matusi
 
Miaisha binafsi si kigezo sahihi cha kupima utendaji wa kiongozi.
 
Mambo mengine ni binafsi sana..umbea tu..
 
siku hizi hakuna tena maliwato za bure umeona uje kujisaidia humu jf.

Ahsante Mamndenyi kwa kumpa ukweli. Source yake anasema ni mfanyakazi wa Kiliwater ambaye pia eti ni diwani! aliyekuwa amelewa chakari! SHAME.
 
Last edited by a moderator:
Mbunge wa jimbo la rombo (chadema)joseph selasini amehamua kupangisha nyumba na kabinti kadogo (jina tunalo)mwanafuzni wa cuo cha uuguzi huruma kweli maendeleo ndio haya wabunge wengine waige
Taarifa za kuaminika toka katika familia ya mbunge huyo zinadai kuwa alifukuzwa nyumbani toka alipofiwa na wazazi wake na hapo ndipo ndugu zake walimuamuru aache kutinda nyusi na kufanya scrub na facial badala yake atafute eneo ajenge kwake lakini kwa sasa ameshaanza kujenga ila sijui kwa kuwa ana wivu sana na mpenzi wake huyo mpya kwani yupo naye (gheto)muda mwingi
Taarifa kutoka kiliwater kwa mfanyakzi mmoja ambaye ni diwani wa halamshauri hiyo amemlaumu mbunge huo kwa kubwatuka bungeni kwa kuwa mdomo haulipiwi kodi na kulalamika kuwa hamna maji ya kiliwater wakati yeye aliomba kama mtu wa kawaida na hivyo asingepaswa kutumia muda huo bungeni kwa ajili ya maslahi yake binafsi
“Ila namshukuru sana kwa ujinga anaofanya huku rombo siku zake zinahesabika na hao mabinti wa watu wanapoteza muda wao bila kujijua”alisema diwani huyo huku akiwa amelewa chakari na chupa yake ya bia ya Kilimanjaro.
Jicho la wazawa linatoa maoni kuwa mbunge selasini sio maarufu kama anavyofikiria ila afanye majukumu yake kama alivyowaahidi wananchi wa jimbo la rombo na sio kupenda kuandikwa kila kukicha kwenye vyombo vya habari
Kuonyesha udhaifu ulio nao sio tu katika jimbo bali hata katika chama na ngazi ya kitaifa ulivuliwa nafasi yako ya uwaziri kivuli wa ulinzi na jeshi la kujenga taifa hiyo ni sehemu ya cv yako kushuka wananchi wa rombo na wanachama walitarajia mambo mengi sana kutoka kwako lakini imekuwa ni tofauti sasa umeonekna kana kwamba ni gamba la rombo kama ulivyobatizwa
Plz jitahidi tafadhari

Naona bado unaendelea na ID nyingine
Join Date : 2nd January 2013
Posts : 11
Rep Power : 303
Likes Received2
Likes Given0
 
Hivi kumbe ukinywa mbege iliyochacha mathara yake ni karibu ya bangi.

Hapa hoja mahsusi sijui ni ipi?
 
Kapime vvu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom