Katika kinachoonesha uzanzibara na uzanzibara badio unautafuna mbunge mmoja wa zanzibar alifurahisha watu pale aliposema ndugu zanguni hili sio jeshi la tanzania hili ni jeshi la tanzania bara nasema hivi nawaambiwa nimepita kila kambi kabla ya kuja kusema haya yaani hakuna wazanzibari wanajeshi sasa hilo jeshi la wapi..na sio hivyo hii ni aibu mh mwenyekiti nenda kaangalie wale jamaa pale juu wamejazana manyota kila kona kaulize kama kuna mzanzibar..nauliza walee pale kaulize hata mmoja kama kuna mzanzibar...huu ni uhuni mtupu mnatuletea ooh muungano muungano gani
wale jamaa wamejazana manyota nani kawaambia wazanzibar awapendi kujazwa nyota ...watu weeeeweee
hata hivyo alaiibuka mbunge mmoja wa ccm sendeka ole akadai anaombamwongozo kuleeta uzanzibara/bari kutalet a maafa ambayo alishindwa kuyataja na kumuuliza mbona waziri husika wa mambo ya ndani mzanzibari??
Sipo mchanga wa pwani huo
Waluguru wapo wenye vyeoMbona hakuna Mluguru jeshini mwenye cheo kwani Mluguru sio Mtanzania?
Umesahau...Pia wana majeshi yao,KMKM na JKU!Wana bendera yao, wana wimbo wa taifa lao, wana katiba yao na nini vile. lile ni taifa kama mataifa mengine tu.
Halua, tende na urojo wataweza kweli kupiga kwata?
Uliza uelezwe, front line kule kagera walikuwa kina nani? halafu ushawahi kumsikia Kanal Mahfudh? kama hujasikia uliza uelezwe ni nani?
Katika kinachoonesha uzanzibara na uzanzibara badio unautafuna mbunge mmoja wa zanzibar alifurahisha watu pale aliposema ndugu zanguni hili sio jeshi la tanzania hili ni jeshi la tanzania bara nasema hivi nawaambiwa nimepita kila kambi kabla ya kuja kusema haya yaani hakuna wazanzibari wanajeshi sasa hilo jeshi la wapi..na sio hivyo hii ni aibu mh mwenyekiti nenda kaangalie wale jamaa pale juu wamejazana manyota kila kona kaulize kama kuna mzanzibar..nauliza walee pale kaulize hata mmoja kama kuna mzanzibar...huu ni uhuni mtupu mnatuletea ooh muungano muungano gani
wale jamaa wamejazana manyota nani kawaambia wazanzibar awapendi kujazwa nyota ...watu weeeeweee
hata hivyo alaiibuka mbunge mmoja wa ccm sendeka ole akadai anaombamwongozo kuleeta uzanzibara/bari kutalet a maafa ambayo alishindwa kuyataja na kumuuliza mbona waziri husika wa mambo ya ndani mzanzibari??
Sipo mchanga wa pwani huo
Umesahau...Pia wana majeshi yao,KMKM na JKU!