pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 17,660
- 13,719
Si akachimbe dhahabu huyu kenge!Huyu ni mchimbaji wa dhahabu. Ubunge mnampotezea muda na kumsababishia ugomvi na wananchi wake.
Si akachimbe dhahabu huyu kenge!Huyu ni mchimbaji wa dhahabu. Ubunge mnampotezea muda na kumsababishia ugomvi na wananchi wake.
Kiasi chakeDaniel Chongolo lugha ya Malkia huwa inapanda?
Ana maduara balaa ajabi haridhiki na anachokipata..sijui walimpaje ubungeHuyu ni mchimbaji wa dhahabu. Ubunge mnampotezea muda na kumsababishia ugomvi na wananchi wake.
Naona muvccm limekukera sana na wewe
Umalkia utaanz kupuputika kuanzia 2024-2025Tuliwaambia watu kwamba awamu hii ya Bi Mkubwa ni ya kumwabudu Malkia, wakanikatalia katu katu. Sasa je!???
Huyu mbunge hakupaswa kuhukumiwa kwa hisia na machungu ya umaskini wetu. Alipaswa kupewa nafasi ya kufanya hata mdahalo wa wazi ili ajenge hoja yake, kisha apigwe maswali na kuyatolea majibu.
Ukiangalia wachangiaji wengi ktk nyuzi zinazohusu kauli ya huyu mbunge, hakuna anayepinga kwa hoja kuntu. Wengi wanajadili utofauti uliopo Kati ya mshahara wa mbunge na wafanyakazi wengine.
Lkn hawajikiti kwenye mantiki ya hoja ya mbunge kwamba mshahara haumtoshi mbunge ukilinganisha na majukumu aliyo nayo.
Kwamfumo wa CCM watamfanya nini? Kumbuka ndiye mwenyekiti wa kikao cha Halamashauri Kuu ya CCM ambao wanapanga nani aishi na nani heeee!!!!... Samahani jamani nilikuwa nameza K Vant.Sasa kwann chongolo anamtolea maneno ya kibabe kiasi hiki. Hajui nyuma ya kauli hii Kuna robo tatu ya wabunge wa chama chake?
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimemtaka Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga kama anataka kuhudumia wananchi afuate utaratibu wa nchi na akitaka kulipwa kwa dola ahamie katika nchi zinazofanya hivyo.
Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aliopohojiwa na gazeti la Nipashe
Kwa upande wake kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe alipoulizwa na Nipashe kuhusu suala hilo alisema
Kama maslahi hayatoshi aache kazi ya Ubunge.
"Wabunge wasipoogopa wananchi hawatakuwa wabunge, Wakati Rais anawaambia wafanyakazi hawawezi kupandishia mishahara kwa sababu ya hali ya uchumi, Mbunge anataka malipo zaidi ni hujuma kwa Rais".
#NipasheView attachment 1828316
Kwa namna nilivyomsikiliza siku moja anahojiwa alitaja sababu kadhaa kwamba;Huyu mbunge hakupaswa kuhukumiwa kwa hisia na machungu ya umaskini wetu. Alipaswa kupewa nafasi ya kufanya hata mdahalo wa wazi ili ajenge hoja yake, kisha apigwe maswali na kuyatolea majibu.
Ukiangalia wachangiaji wengi ktk nyuzi zinazohusu kauli ya huyu mbunge, hakuna anayepinga kwa hoja kuntu. Wengi wanajadili utofauti uliopo Kati ya mshahara wa mbunge na wafanyakazi wengine.
Lkn hawajikiti kwenye mantiki ya hoja ya mbunge kwamba mshahara haumtoshi mbunge ukilinganisha na majukumu aliyo nayo.
Kwa namna nilivyomsikiliza siku moja anahojiwa alitaja sababu kadhaa kwamba;
1. Wakati anaomba lidhaa ya kuwa mbunge alitumia kama 72m na kunawengine walitumia zaidi ya 600m kuingia bungeni.
2. Kuna asilimia kubwa ya wabunge hawakai majimboni mwao sababu wanaongoza watu wengi na wengi wanashida mbalimbali na kunawalio na akili na wasio na akili. Akatoa mfano kwamba kazi za mbunge hauwezi kufananisha na mwalimu au daktari.
3. Hoteli anayokaa dodoma niyahadhi kubwa hivyo akipata mshahara wa 3.8 haiwezi kumudu gharama anazo zitumia na akabaki na chochote.
4. Akiwa nyumbani kwake anadai akiamka asubuhi watu wengi wanakuja kwake na shida mbalimbali akienda mahospitali inamlazimu atembee na chochote mwisho wa siku anajikuta anaingia mpaka kwenye biashara zake kwaajili ya kusaidia watu.
5. Mshahara wake bado hajawalipa wasaidizi wake, katibu na dereva nk.
Sasa mkuu Sexless unaona kunahoja gani kuntu hapo isiyoweza kujibika kwa akili ya kawaida ...?
Kwanini uhonge hela ili upate ridhaa ya kutumikia wananchi?Kwa namna nilivyomsikiliza siku moja anahojiwa alitaja sababu kadhaa kwamba;
1. Wakati anaomba lidhaa ya kuwa mbunge alitumia kama 72m na kunawengine walitumia zaidi ya 600m kuingia bungeni.
2. Kuna asilimia kubwa ya wabunge hawakai majimboni mwao sababu wanaongoza watu wengi na wengi wanashida mbalimbali na kunawalio na akili na wasio na akili. Akatoa mfano kwamba kazi za mbunge hauwezi kufananisha na mwalimu au daktari.
3. Hoteli anayokaa dodoma niyahadhi kubwa hivyo akipata mshahara wa 3.8 haiwezi kumudu gharama anazo zitumia na akabaki na chochote.
4. Akiwa nyumbani kwake anadai akiamka asubuhi watu wengi wanakuja kwake na shida mbalimbali akienda mahospitali inamlazimu atembee na chochote mwisho wa siku anajikuta anaingia mpaka kwenye biashara zake kwaajili ya kusaidia watu.
5. Mshahara wake bado hajawalipa wasaidizi wake, katibu na dereva nk.
Sasa mkuu Sexless unaona kunahoja gani kuntu hapo isiyoweza kujibika kwa akili ya kawaida ...?
Waliopitishwa na mwendazake bila kupingwa.Kwani alichaguluwa na wananchi? Huyu ni zao la uchafuzi mkuu.
Nenda kawasemee chatoWatakuwa wamedukua mitambo yetu na kusikia kwamba tarehe 1 Julai tunaandamana nchi nzima ili kuwafurusha woooooooote Mjengoni pamoja na timu yote huko juu ya Bi Mkubwa wao.
Aachie ngazi, akaendelee na uchimbaji kwani wabunge sio sehemu ya wafanyakazi wa serikali??Raisi kesha weka wazi uchumi wetu bado hauko sawa kufanya nyongeza ya mishahara, wiki moja baadae Mbunge analeta hoja bungeni mishahara ya wabunge iongezwe tena kwa kufananishwa na mabunge mengine,mkuu kiuhalisia huyu mbunge ana bahati JIWE kaenda angedeal nae directly moto wake ungemuunguza na angejuta kwa nini aliongea hayo, kwanza amepelekwa tu bungeni kama hao wengine,huko ni kupingana na Raisi. kuitwa ngazi za juu za chama ni dhahiri,nina shaka pia na kisomo chake asije akawa ni wale msukuma &co.Kuwatumikia wananchi lkn kwa malipo stahiki
Ktk hoja zake, hoja na 4 inaonesha wazi kwamba huyu mbunge hayafahamu kabisa majukumu yake. Mbunge siyo mfadhili ama msamalia mwema. Na wala siyo kazi yake kuwagawia misaada wananchi.Sasa mkuu @Sexless unaona kunahoja gani kuntu hapo isiyoweza kujibika kwa akili ya kawaida ...?
Aache kazi ana skills gani za kuajiriwa. Wametoka kupata millioni 400 kwa kukaa Dodoma for 3 months. Wana akili ya kuku viongozi wetu. Yeye analipwa allowance kwa kwenda kazi. Imbecile MPs. CCM has the power of expelling their members, this one has to go. He gets 12 million just for opening his mouth and vomiting uharo. Do we need MPS I really don’t understand their role, no one questions the government programs.Chama cha Mapinduzi (CCM) kimemtaka Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga kama anataka kuhudumia wananchi afuate utaratibu wa nchi na akitaka kulipwa kwa dola ahamie katika nchi zinazofanya hivyo.
Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aliopohojiwa na gazeti la Nipashe
Kwa upande wake kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe alipoulizwa na Nipashe kuhusu suala hilo alisema
Kama maslahi hayatoshi aache kazi ya Ubunge.
"Wabunge wasipoogopa wananchi hawatakuwa wabunge, Wakati Rais anawaambia wafanyakazi hawawezi kupandishia mishahara kwa sababu ya hali ya uchumi, Mbunge anataka malipo zaidi ni hujuma kwa Rais".
#Nipashe
View attachment 1828316