Mbunge aingia Bungeni na Kandambili

Mbunge aingia Bungeni na Kandambili

isupilo

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2015
Posts
303
Reaction score
1,256
Mbunge wa Jimbo la Igalula,Mh Mfutakamba,jana ilimlazimu kuingia na ndala ktk mguu wake mmoja wa kushoto baada ya kuwa ameteguka.
ImageUploadedByJamiiForums1432028330.209147.jpg
Mfuta kamba alionekana kwenye viwanja vya bunge akikimbia ili kuwahi nafasi yake ya kuuliza maswali ktk kipindi cha maswali na majibu.
 
Mh! ateguke huku awe anakimbia kiasi hicho au ndio mambo ya uchaguzi?

Ananikumbusha kwa wale waliosoma Ifunda ilikua ukichelewa kwenda assembly asubuhi unawahi dispensary lakini kumbe mwalimu Patime (Raphael) tayari kesha anzia huko kuchukua mahudhurio ya wagonjwa kwa hiyo kisingizio cha ugonjwa inakua kazi bure.
 
Masharti ya mganga mwaka wa uchaguzi huu
 
Mbona yuko strong hivi ametenguka kweli huyo au ndo mashart ya kalmanzirae
 
Bado tutashuhudia vihoja vingi sana uchaguzi wa 2015.
 
Mbunge wa Jimbo la Igalula,Mh Mfutakamba,jana ilimlazimu kuingia na ndala ktk mguu wake mmoja wa kushoto baada ya kuwa ameteguka.
View attachment 252923
Mfuta kamba alionekana kwenye viwanja vya bunge akikimbia ili kuwahi nafasi yake ya kuuliza maswali ktk kipindi cha maswali na majibu.

MTU aliyeteguka anakimbia? Tena inaoekana vidole vya mguu mbovu vimekamta Ardhi aaaaahh . tiii maelekezo bila shuruti
 
angekuwa wa kyadema ungesikia safi kamanda sijui piga kazi!!!!!!???watu kwa u snitch humu ndani
 
Dah mwaka huu kwa kweli waage tu, Mheshimiwa Sugu alisema Wamepaniki, kumbe hajakosea!!!!! MANI kaka umeiona hii lakini? Amavubi mzee wa maphoto hii hujaiona tu?
 
Last edited by a moderator:
Tutaona mengi.....vioja, vituko vya kubebana, ili mradi burdani tuu.....
 
Mbunge wa Jimbo la Igalula,Mh Mfutakamba,jana ilimlazimu kuingia na ndala ktk mguu wake mmoja wa kushoto baada ya kuwa ameteguka.
View attachment 252923
Mfuta kamba alionekana kwenye viwanja vya bunge akikimbia ili kuwahi nafasi yake ya kuuliza maswali ktk kipindi cha maswali na majibu.

Sasa Umeshasema Kuwa Ameingia Na Kandambili Kwakuwa Ameteguka Sehemu Ya Kanyagio Na Kisigino Sasa Unataka Tuchangie Nini Tena Hapo? Kwani Umeuliza Swali Na Umejijibu Mwenyewe. Hakika Humu Jamvini Kuna Kila Aina Ya Watu Na Akili Zao.
 
Sasa kulikua na ulazima gani wa kuvaa kiatu kimoja? Halafu kuteguka huko angevaa sandals nyepesi tu.Sio kama alivyofanya kuvaa ndala na kiatu kimoja.
 
Mh! ateguke huku awe anakimbia kiasi hicho au ndio mambo ya uchaguzi?

Ananikumbusha kwa wale waliosoma Ifunda ilikua ukichelewa kwenda assembly asubuhi unawahi dispensary lakini kumbe mwalimu Patime (Raphael) tayari kesha anzia huko kuchukua mahudhurio ya wagonjwa kwa hiyo kisingizio cha ugonjwa inakua kazi bure.

Hahahahaa nimecheka sanaaaa.
 
Fix nyingine bwana, eti anajaribu kuwaonyesha wapiga kura kuwa pamoja na dharura ya mguu aliyonayo bado anapiga mzigo.
 
Sasa kulikua na ulazima gani wa kuvaa kiatu kimoja? Halafu kuteguka huko angevaa sandals nyepesi tu.Sio kama alivyofanya kuvaa ndala na kiatu kimoja.

Hapo ameteguka katikati ya unyanyo mbona kajifunga bandage kama amepata jeraha. Huyu hajatenguka kitu asingekimbia hivo.
 
Sasa kulikua na ulazima gani wa kuvaa kiatu kimoja? Halafu kuteguka huko angevaa sandals nyepesi tu.Sio kama alivyofanya kuvaa ndala na kiatu kimoja.

Usanii usanii tu kwenye kila kitu!
 
Back
Top Bottom