Mbunge aingia Bungeni na Kandambili

Mbunge aingia Bungeni na Kandambili

si angevaa basi sendozi jamani. atakuwa amefungia dawa hapo si bure
 
Mbunge wa Jimbo la Igalula,Mh Mfutakamba,jana ilimlazimu kuingia na ndala ktk mguu wake mmoja wa kushoto baada ya kuwa ameteguka.
View attachment 252923
Mfuta kamba alionekana kwenye viwanja vya bunge akikimbia ili kuwahi nafasi yake ya kuuliza maswali ktk kipindi cha maswali na majibu.

facebook_joke_ostrich.jpg
 
Back
Top Bottom