Mbunge adaiwa kuibiwa mil. 440/-

Utafanya nini! Kama ni tunguli babu yangu ni zaidi njia nyepesi mwachie Mungu

JF ni mahali pa kujuzana ngoja nikujuze .

Mtu mpaka anidhulumu hela yote hiyo amenidharau na amenipa kibali cha kumfanya lolote ,mimi ukipiga miti wife adhabu yako ntavunja urafiki na wewe na kama nanguvu ntamuacha na mke wangu(nikimaanisha naweza msamehe) ,ila ukichezea hela yangu hiyo ni gharika limekukuta .Umeniuliza ntakufanyaje ? nimecheka kimoyomoyo kwamba kuna watu hamuogop mtu? mi cikujui ila sidhubutu kukudhulumu maybe hujacheza game ngumu nyingi .Haya ntafanya hivi:

KIROHO
1.Uchawi
Hapa siendi sijui bagamoyo sijui tanga ,wewe nakuzamia kongo kwa wabembe ,kisha napita ukerewe ,kalya kigoma namalizia kwa mtoto wa pakipande ,nkwenzuru makete na mashehe wa ujiji wa2 hapo bajeti 10 m.na kote nakuombea ukichaa tu

KIMWILI
1.Yakwanza huchomoki ila in a case umechomoka ,naumiza watu unao wapenda hapa najikita kwa mama yako(MAUTI) ,mkeo ,baba yako na watoto wawili vipenzi ,ndugu hasa mnaoshare mama+3 BEST FRIENDS.
2.Nina attack mali zako hapa nawakabidhi makundi ya majambazi dau na list ya mali yako kwamba iwapo watachoma nyumba yako cash milion 3 ,gari hapana utalipwa insurance pia mali za mama mzazi pia
3.Ninatoa policc/upelelez cash 20 mil upigwe uhujumu uchumi kila ukiitishwa mahakamani 1m ya hakimu kuahilisha na 1 mil ya mpelelezi ili yasiishe

USHAURI : HII MAUDHULUMAJI UKUTANE NA MSHAMBA TOKA TANDAHIMBA HAWA WAMJINI WANAMENGI NIA YA KUPATA HELA NI KUJIFURAHISHA WEWE NA FAMILIA YAKO,MARAFIKI NA JAMAA ,UNAWEZA FURAHIA 400M KWA UHAI WA MAMA YAKO?
 
The only, Wewe naye na huyu mbunge wote majuha tu. Hiyo gharama yote unayohangaika kulipa kisasi cha ghadhabu kwa nn usitumie huo muda na hiyo pesa kuendeleza biashara zako!??

Yaani unatumia gharama zote hizo za pesa na muda ili kumuua mtu au kumfunga halafu wewe bado hupati pesa zako na zingine unaendelea kupoteza na bado hutabaki na Amani,maana kwa mfano ukituma watu waangamize familia yake wanaweza kukamatwa na kukutaja...kwakweli hii Tanzania ina watu wajinga sana ukiwemo wewe!!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika kazi ya ubunge raha sana, ndio maana siku hizi maprofesa, madaktari, wahasibu, wanasheria wote wanakimbilia huko, inalipa vizuri sana, uwe na jimbo, au uwe viti maalum, wewe tayari ni tajiri.

Milioni 400/= unampa mtu akupelekee bank, wewe uko busy na nini?!, hata jimbo huna!.wacha huyo mjasiriamali apite nazo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mbunge nae jipu achunguzwe kwa makini hizo hela alizipata kihalali ama kama hazina maelezo jinsi alivyozipata serikali wala isipate shida chukua hela wekeza kwenye miradi ya maendeleo Hapa Kazi tu na maendeleo hayana Chama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao huenda walikuwa wana biashara ya pamoja sasa huyo jamaa kamzidi maarifa mh. mbunge mwenye vigezo vya kujua kusoma na kuandika. Hata ukiangalia hiyo interval ya muda kuanzia 2015 hadi 201......iwe tu anakaidhiwa jamaa kwenda ku deposit? Haiingii akilini kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabunge wanawake wa ccm ni wa kuponea tu! Vijana mlio na uwezo pigeni hiyo michepuko haina maana kabisa!
 
Ndio maana huna hela....
hela inaanzia sh ngapi? kuna mtu anaweza kukuua kwa tshs 100,000/= ,hapa tupo kufunzana mambo ya binafsi yanatutoa kwenye hoja inamaana ningekuwa mjinga ningeanza kujisifia ninamiliki nini na ningeongeza na za uongo
 
hela inaanzia sh ngapi? kuna mtu anaweza kukuua kwa tshs 100,000/= ,hapa tupo kufunzana mambo ya binafsi yanatutoa kwenye hoja inamaana ningekuwa mjinga ningeanza kujisifia ninamiliki nini na ningeongeza na za uongo
Hela zipo nyingi sana.....
kuna njia za halali nyingi za kupata pesa...
kwa sababu mm pesa kwangu sio ngeni inakuja na kupita....
siwezi kumdhuru mtu kwa njia yyte ile kwasababu ya pesa....
ndio maana baraka zinanitangulia siku zote
 
Huyo alificha fedha hizo
Akapigwa, uchunguzi ufanyike wa fedha hizo
Amezipataje huyo mbunge wa ccm

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndio ile tunaita "Reasonable Doubt" ni kwamba alikuwa anajaribu kuficha Identity yake kumiliki pesa zote hizo akaamua aziweke kwenye account ya mfanyabiashara mkubwa ili kuondoa jam. Matokeo yake jamaa kaamua kumpiga, watakuwa walishindwa kuelewana ila hapo kesi hamna.

Kama mlalamikaji kampa hela mtu kwa ridhaa yake kesi ya nini tena? Ukisema amlipe kwani walikopeshana? Mi hilo lilinikuta miezi mitatu iliopita nililambwa M.
 
Back
Top Bottom