Mbuga ya Burigi - Chato

Kwenye ule uzi wako watu naona wamemwaga povu balaa kwamba hii mbuga ni mpya haijawahi kuwa na wanyama, kumbe hii mbuga ina wanyama wengi kuliko hata mbuga kongwe ila tu lilikuwa linaitwa pori tengefu.

Nimesikitika sana sababu kumbe Watanzania wengi hawaifahamu nchi yao kabisa, Nakumbuka kuna mahali panaitwa mlima simba kutoka kasindaga kuelekea Biharamulo kulikuwa na ujambazi sana sababu unapita katikati ya msitu mnene haswa na hakuna kabisa makazi ya watu ila sasa hali ni shwari sababu ya police check points.

Walichelewa sana kulipa hadhi ya hifadhi hili pori, waliwakabidhi wantarwanda ikawa kama ni Kigali ndogo, mang'ombe yao yalikua kwenye hifadhi kama kumbi kumbi, Mtanzania alionekana kama kima tu. Hongera serikali.
 
Mbona wewe jamaa upokei simu sasa.
Tunakuitaji huku ili uweze kukabidhiwa ofisi apa kwenye mbunga mpya...
Naomba upokee simu ya mkuu
 
Hizi pesa zinatoka wapi huku miradi mingine ikisimamishwa kwa kukosa pesa? Je imo katika ilani yao? Je Bunge limehusishwa? Hivi.... daaah!
 
Rwanda hakuna majangiri !Chuki zako tu wanyama waliwidwa na wenyeji kutafuta kitoweo
Wanasomba maneno mitaani ili kuhalalisha ujambazi wao (tukisoma ramani hatuoni mahali Burigi inapakana na Rwanda au Biharamulo, Muleba, Ngara na Karagwe ndio Rwanda?)
 
Kwa hiyo inafaa kuwa makao makuu ya nchi au?
 
Labda kuna kitu special kisichojulikana kitakachowavutia watalii!!!! Mkuu tunapaswa kuunga mkono juhudi hata kama.....
Narudia tena Mbuga FAKE na haitavutia mtalii yeyote kutoka nje hata katika vivutio vya Watalii vinavyojulikana duniani chato burigi haimo watalii si wajinga wajinga eti muhamishie wanyama huko ili kuwachuuza.
 
Acheni Uzwazwa kama Rais anafanya vizuri tunaisifu. Kuna shida gani chato kuwa na uwanja wa ndege. ACHA HIZO mlizowafanyia wanaserengeti mpaka kukosa uwanja wa ndege kwa wivu tuu!
 
Wanasomba maneno mitaani ili kuhalalisha ujambazi wao (tukisoma ramani hatuoni mahali Burigi inapakana na Rwanda au Biharamulo, Muleba, Ngara na Karagwe ndio Rwanda?)
We unasoma ramani?
Wakati watu wameishi huko burigi na kuvua samaki ziwa burigi!!

Yani mnajifanya wajuaji wakati wenyeji wapo
 
Rwanda hakuna majangiri !Chuki zako tu wanyama waliwidwa na wenyeji kutafuta kitoweo
Bila Shaka unakumbuka oparesheni tokomeza

Vip waliokuwa wanateka abiria wa Bukoba ?

Baati nzr mnyaru anaonekana hata Tu Kwa macho
 


Hiyo hapo kulia Biharamulo game reserve iko wilaya ya chato, kwa sababu wilaya ya chato zamani ilikuwa biharamulo. Usichukulie chato kama mji, chukulia chato kama wilaya.
 
Unafikiri wanyama hawana akili?? Kama hali ya hewa ni nzuri Sana wanyama wangekuwepo wala isingehitaji kwenda kukwapua wanyama sehemu nyingine kuja kuwapachika hapo!
 
We unasoma ramani?
Wakati watu wameishi huko burigi na kuvua samaki ziwa burigi!!

Yani mnajifanya wajuaji wakati wenyeji wapo
ungejibu swali kuliko kutoa maelezo ningekuelewa ila naomba ujibu swali hili ewe msoma ramani mkuu "... ni wapi mbuga ya burigi inapakana na Rwanda?" Ruksa kukurupuka tena... au waambie hao waliokuambia wakuambie tena ili nasi tuijue hiyo border point.
Kumbuka swali la awali Biharamulo, Ngara, Muleba na Karagwe ziko Rwanda?
Pia usipotoshe swali kwa kuzusha uongo ambao sikuuandika (hakuna mahali nimeandika "watu hawakuishi ama kuishi humo" mkaa umechomwa na wanyama wamewindwa sana nafahamu hilo sihitaji kuambi
 
....hivi kweli hatuwezi kuibeba ile kreta ya ngorongoro pamoja na vilivyomo kuvihamishia burigi chato...??
Nimeuliza tu kutokana na ujinga wangu
Mbona inawezekana kabisa tunaweza kupiga bomu letu kutoka store yetu mbona crater itatokea tukilipua pale unaonaje???
 
Unafikiri wanyama hawana akili?? Kama hali ya hewa ni nzuri Sana wanyama wangekuwepo wala isingehitaji kwenda kukwapua wanyama sehemu nyingine kuja kuwapachika hapo!
Kila kitu tunatengeneza mbona ikulu wanyama wapo kwani umewahi sikia wanyama wamekufa kisa hali ya hewa???
 
Itazame akagera national park ipo Rwanda.

Hebu tz vzr burigi imepakana na rwanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…