Mbowe's arrest lawful – Ndugai

.....I was expecting this type of comments from people like Ndugai..............Nonsense...
 
Ndugai ni miongoni mwa wabunge waliopewa nafasi na hawana uwezo na viatu walivyopewa. Tangu alipo toa maelezo ya kufuta kambi rasmi ya upinzani nilikosa imani nae. Ni aina ya kilaza kwenye kufanya maamuzi.
 
Naibu Spika na Spika wake wote wamepaa nafasi hizo kwa kuwa manazi wakubwa wa CCM unategemea bisara yeyote kweli toka kwao ?
 
Back
Top Bottom