YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,906
- 51,938
Wanasheria wa chadema wanamaliza pesa kwa kisingizio cha legal fees. Kesi za kujitungia ni nyingi ambazo akina lisu hufanya makusudi ili mawakili wa chadema wapate ajira walambe pesa. Mbowe weka limit ya fees na masharti Ya chama kumuwekea mtu wakili kwa gharama za chama. Vinginevyo mawakili watafilisi chama. Mtu atetewe pale alichofanya au kusema awe alitumwa officially na chama kupitia vikao halali. Vinginevyo ruzuku ya chadema itakuwa shamba la bibi la mawakili