Mbowe weka limit Ya legal fees akina Lisu watalamba ruzuku yote

Naona mafisiemu mmekuja na mbinu mbadala ya kumshauri mboye poleni.
Lissu anaandaliwa pale alipo na atauwasha moto apo lumumba mtoweza kaa tena ata kule dodoma mtapakimbia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pesa wanamaliza akina Lisu na mawakili wenzie. Ndio maana chadema haina ofisi hadi leo ya maana makao makuu. Legal fees ndio Main expenditure Ya chadema kwa sasa.paying Legal fees imegeuka kuwa Main function Ya chadema .Very sad. Mbowe wake up
Na ndio maana tuna sema haya MAJAMAA NI MAJIZI.....tusiyape nchi yetu..mfano mdogo tu,yameisha anza kuiuza nchi yetu hata kabla ya kutwaa madaraka kuptia hiyo misaada yanayopewa na WAZUNGU....sasa sijui wana wahidi nini hao wazungu
 
CCM kua na huruma na CDM... Ha ha haa haaa
Mkuu sihurumii Chadema kama chama nahurumia pesa yangu Ya kodi ambayo chadema inapewa ambayo mawakili wa chadema wameifanya shamba la bibi.mkuu usinilize zaidi niko hapa nalia kodi yangu waliyopewa chadema Kama ruzuku kufanywa shamba la bibi na mawakili wa chadema wakiongozwa na Lisu
 
Umenena sahihi kabisa Mkuu kwani Mbowe anachezewa ' mchezo ' ambao ama bado hajaushtukia au na Yeye labda ana 10% yake humo. Mkuu una jicho kweli la ' Tai ' hadi raha. Sasa cha kushangaza hapa umetoa msaada mkubwa kwa wana CHADEMA ila nakuhakikishia wakija wenyewe ' watakupovukia ' mno Mkuu.

Wenye akili timamu na zilizotutosha tumekuelewa / tumekupata Mkuu.
mbowe ni kocha mchezaji hawezi kuchezewa game lolote la pesa
 
masikini ester bulaya, alipokuwa akiongea hakujua kama anamharibia tundu lisu, yeye alijua anamsifia kama ni mwenasheria bora na wa hali ya juu, kumbe ina madhara yake pia. atakosa wateja wengi sana wa hali ya chini.
Ungetumia akili kidogo usingekuja na hoja hiyo. Gharama asemazo Ester ni pamoja na usafiri, malazi, kutafuta vielelezo nk nk. Kumbuka kesi hii ilianza kusikiliziwa Mwanza na baadae ikakatiwa rufaa ikaanza tena kusikiliziwa Musoma. Baada ya hapo appeal imekuja kusikiliziwa Dar sasa hizo gharama za nenda rudi unadhani ndio gharama za Wakili?
Wassira ajiandae tuu kulipa pesa hizo
 
Usilipe kodi basi ili pesa yako ibaki salama.
Kodi siachi sababu sio hiari labda ungeshauri vyama vya siasa visipewe ruzuku mimi nisingehoji kabisa sababu chadema kingekuwa hakiendeshwi kwa kodi zangu .Na nisingethubutu kushauri wala kuhoji.
 
Wanasheria wa chadema wanamaliza pesa kwa kisingizio cha legal fees. Kesi za kujitungia ni nyingi ambazo akina lisu hufanya makusudi ili mawakili wa chadema wapate ajira walambe pesa. Mbowe weka limit ya fees na masharti Ya chama kumuwekea mtu wakili kwa gharama za chama. Vinginevyo mawakili watafilisi chama. Mtu atetewe pale alichofanya au kusema awe alitumwa officially na chama kupitia vikao halali. Vinginevyo ruzuku ya chadema itakuwa shamba la bibi la mawakili
Inakuwaje Leo YEHODAYA umegeuka mtetezi wa Chadema wakati wewe ni CCM damudamu?
 
Ukombozi wa taifa hili una gharama zake!Ishauri serikali inayoshindwa kila kesi iache upumbav wake maana kesi karibu zote inashindwa na DPP anaamua kuahirisha kesi kibwege sana bila sababu za kueleweka!Mnawapa shida mawakili wa serikali mpaka wanaonekana wapuuzi mbele ya mahakama!
Ni hilo tu!
 
Inakuwaje Leo YEHODAYA umegeuka mtetezi wa Chadema wakati wewe ni CCM damudamu?
Nimeshajibu sina mpango wa kutetea chadema Kama chama natetea kodi yangu inayoingizwa chadema in form of ruzuku kuliwa na mawakili vibaka. Kama mlipa kodi naruhusiwa kushauri au kuhoji pesa za kodi yangu zimetumiwaje na serikali kuu halmashauri au manispaa na vyama vya siasa pia. Ni haki yangu Kama mlipa kodi
 
Acha kuifuatilia chadema,eti kodi yangu dah!kuna mambo ambayo mwanaume aliekamilika hapaswi kuuliza kama hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haiwezekani wabunge wote wakiwemo wa chama tawala na upinzani huruhusiwa kuhoji matumizi na bajeti ya serikali na wananchi walipa kodi pia huna uwezo wala ubavu wa kunizuia mimi Kama mlipa kodi nisishauri au kuhoji baJeti Ya chadema na matumizi ya hizo pesa Kama zinaliwa na mawakili. It is my Money Go to hell. I have my share in the ruzuku That is given to chadema
 
Kweli mkuu hawa watu walikua wanatete wananchi ila kwa sasa ni homatupu na wakiendelea hivi tuta tokahuko wegisana wajilekebishe mapema Muda huu wapeleke hojazawananchi mungeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasheria wa chadema wanamaliza pesa kwa kisingizio cha legal fees. Kesi za kujitungia ni nyingi ambazo akina lisu hufanya makusudi ili mawakili wa chadema wapate ajira walambe pesa. Mbowe weka limit ya fees na masharti Ya chama kumuwekea mtu wakili kwa gharama za chama. Vinginevyo mawakili watafilisi chama. Mtu atetewe pale alichofanya au kusema awe alitumwa officially na chama kupitia vikao halali. Vinginevyo ruzuku ya chadema itakuwa shamba la bibi la mawakili
Mambo ya CHADEMA yanawahusu nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha wivu wewe! Kesi nyingi ni za kujitolea. Hata Lissu ile kesi ya kada wa ccm wa mitandao mbona alimsaidia bure? Halafu fedha za Chadema wewe zinakuhusu nini?
uchama unakusumbua sana wewe pole asee
 
uchama unakusumbua sana wewe pole asee
uchama unakusumbua sana wewe pole asee
Msajili na CAG au mkaguzi yeyote wa chadema ukaguzi mtakaofanya mu concentrate sana kwenye legal fees kuna vibaka wamevaa majoho ya uwakili wamejificha kwenye chaka la legal fees Na eneo lingine kwa chadema muangalie kwenye funeral costs za ile ajali Ya watoto wa shule Ya St Vincent na funeral costs Za marehemu ndesamburo . Fuatilieni michango iliyokusanywa, michango na gharama za chadema na actual gharama kipi kililipwa Na chadema na kipi kililipwa na familia ya ndesamburo na wazazi wa watoto wa St Vincent na Wafadhili. Hayo maeneo yana issues .mengine angalieni safari za viongozi wa chadema hasa wa makao makuu na vikao vyao
 
Back
Top Bottom