Ikibainika Mbowe anafuja ruzuku ya chama afunguliwe mashtaka ya utakatishaji pesa

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,908
22,691
Nasema ikibainika tu .

Kuna tuhumu zinaendelea kutrend mtaani kuwa mwenyekiti wa miaka mingi Freeman Mbowe kuwa anachukua pesa za ruzuku na baadae kuikopesha CHADEMA kwa riba kubwa ya zaidi ya %21 :

1. Mbowe sio taasisi ya kifedha na hajasajili taasisi ya kutoa mikopo ambapo ni kinyume na sheria za BOT za usajiki wa taasisi za kukopesha yaani (microfinance act)

2.Kiwango cha riba ambacho wandani wake wanakitaja (rejea madai ya mkurugenzi wa mipango na fedha mwigamba na sasa katibu mkuu mstaafu ,mzee sumaye na mwambe ) kuwa chama kinafilisiwa na riba kubwa ya mwenyekiti mbowe

3.Pesa inayokopwa ni pesa ya Serikali (Ruzuku) hivyo pesa ile sio ya mtu bali ni taasisi hivyo kuichukua na kuizungusha ili kupata faida ni kosa kisheria

4 . Matumizi mabaya ya madaraka na ofisi ,hapa mbowe lazima anaswe na hii inatokana na ushahidi ambao viongozi walikuwa pale juu wamekubali kuwa mbowe hufanya manunuzi fake na sio gharama halisi

HATUA

Tumemwandikia barua DPP na TAKUKURU kupitia madai haya ya muda mrefu ili haki ionekane imetendeka Mali na pesa za chadema ambazo kimsingi ni Mali za wananchi zisiendelee kuibwa na kufujwa

Tumewataka viongozi na wanachama wa chadema na walikuwa jikoni (kwenye masuala ya fedha ,mipango na manunuzi walete hard copies kwa pm ili kukusanya ushahidi wa kutosha

Hoja hii ni hoja ya kisheria zaidi hivyo Jumatatu tarehe 23/12/2019 tunafungua kesi Mahakamani kwa kushirikiana na TAKUKURU

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmemkosa kwenye uchaguzi kwa vile hauja simamiwa na polisi na tume sasa mmekuja kwenye ruzuku?
 
Hao akina Sumaye and so waliyazungumza haya wakiwa na nyafhifa ndani ya chama au baada ya kuangukia pua?.
Je, yule anayeongoza kwa kuvunja sheria za manunuzi tumpeleke ICC?
 
Dah wewe jamaa na Mbowe duh, mbona yule ni mzee na ww ni kijana? Me nilidhani ungekuwa una focus kwa madhaifu ya vijana wenzako, ila ww kila siku ni Mbowe Mbowe
 
Back
Top Bottom