Covid hawajaondoka bali walivuliwa uanachama waliondoka ni kama Sumaye,Slaa nkAnatuandaa kuhusu Covid 19 ama!
Covid hawajaondoka bali walivuliwa uanachama waliondoka ni kama Sumaye,Slaa nkAnatuandaa kuhusu Covid 19 ama!
Mbona anaelekea kuwasamehe covid 19?Dada pia yupo Mbowe mwenye misimamo isiyombishwa na lolote; iwe vitisho au mateso.
Kwani wanawake wa viti maalumu, mnajua kupika? Au mnakula tu zile samaki anazo pima na rula Mpina?!🤣🤣🤣🤣🤣
Hivi sasa ni saa saba kamili..... Karibu ugali
Maneno ya kichungaji hayo.Zingatia hii
Amesema, "Tunatakiwa tuwapokee wote, waliokimbia watarudi tutawasamehe dhambi zao. Tutajenga CHADEMA kuwa Chama Kiongozi. Tusivae utakatifu, sisi sote ni binadamu, tuna mapungufu yetu."
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunajua kupika na kula 🤣🤣🤣Kwani wanawake wa viti maalumu, mnajua kupika? Au mnakula tu zile samaki anazo pima na rula Mpina?!
Congratulations!Tunajua kupika na kula 🤣🤣🤣
Hii nchi tunachezewa sana.Sometime Mbowe huwa simuelewagi ni mpinzani wa aina Gani?
Yaani na mie nilivyooona tu heading ya hii thread waz namba moja nikakumbuka maneno ya Pascal Mayalla kuwa uongozi wa Chadema unawahadaa wanachama wao na wanajua kila kitu kuhusu Covid 19 na WATAWASAMEHE KWA 100%, tayari dalili ndio hizi zimeanza ngoja tuone