Mbowe utakizika chama


Kwanini mnalazimisha Lissu agombee peke yake? Kwanini msiache vikao vya chama chenu viamue?hahahahaha mambo ya demokrasia hayo
 

Bora wewe umesema wazi kuwa chadema ni chama cha wachagga hahahaha
 
Hata nyie wachaga mtamkataa!!!
 
CDM inawatoa jasho. Mnatumia miguvu yote ya Nini kwa chama kilichokufa?mnaogopa maiti? Vitisho, Ubabe, na matumizi ya hovyo ya taasisi za serikali ya Nini ikiwa mnaamini CDM imekufa?
Nani anapenda kukaa karibu na mzoga! Walishakufa so wakae makaburini sio kutufanyia fujo mitaani
 
Hivi kwani kuna mtu keshafika bei.

Ile nafasi hua inauzwa.
 
Duh.. Tayari msukule wa Mbowe huu hapa
 
Kwanini mnalazimisha Lissu agombee peke yake? Kwanini msiache vikao vya chama chenu viamue?hahahahaha mambo ya demokrasia hayo
Utoto tu!.

Pretends wanaipenda sana CDM, while they know nothing.
 
Amekihujumu chama kivipi? Chuki zako binafsi kwa Mbowe usihamasishe na kwa wengine. Mbowe ana mapungufu lakini kaifanyia makubwa mno Chadema.
 
Sijui Mbowe haoni aibu?
Cdm imedhoofu ameshindwa vita, asisingizie watu kuhongwa pekee naye amekosa mbinu za kimkakati.
Aachie kugombea abaki kuwa mdhauri hilo linamfaa
Unaonaje ungegombea huo Uenyekiti ili uonyeshe hizo mbinu za kimkakati?
 
Ni bora Mbowe ataleta wabunge hata watatu ila mkijikoroga mkampa mropokaji hata diwani hampati. Hatakiwi na system

Wazee wa system ndio wanatuchagulia rais? Mbowe hatoshi kuwa rais wetu. Sisi wapiga kura wengi wa upinzani tunamtaka Lissu. Hao system wakampe kura Mbowe.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…