Mbowe utakizika chama

Amegombea sababu ni haki yake na amejipima vigezo pia.
Lakini hawezi kuleta tija.
Akipewa mgombea mwenye mvuto kwa wapiga kura...atasaidia kupata wabunge wengi na kuhuisha chama.
Ushindi waweza kuwa mgumu kwa niwajuavyo majambazi wa chama kile
 
Sijui Mbowe haoni aibu?
Cdm imedhoofu ameshindwa vita, asisingizie watu kuhongwa pekee naye amekosa mbinu za kimkakati.
Aachie kugombea abaki kuwa mdhauri hilo linamfaa
Nahisi hata hujui ulichoandika, now prove me wrong; hebu tuwekee hapa hizo mbinu zako za kimkakati unazozungumzia, atleast weka mbinu mbili tu.
 
CDM Akili kubwaa. Nawamini Endeleeni na utaratibu, Kama hujaelewa Akili inayotumika hapo na kuandika Uzi wa namna hii, Basi hata magufuli unatakiwa umpigie upatu mleta uzi.
 
Mkuu mchezo uliopo hapo utaupenda hakuna mfano. Mbowe usimfikirie hivyo unavyofikiri, jina lake halitapitishwa na Chama na kwa kuwa yeye kama mwenyekiti hata lalamika makundi ya kulalamika kwa watia nia wengine yatawezaje kuanzishwa?
Chama kitabaki kua kimoja katika safari ya kumuwajibisha dikteta
 
Chama alishakizika toka 2015 labda kama kuna utaalam wa kuzika kitu mara 2
CDM inawatoa jasho. Mnatumia miguvu yote ya Nini kwa chama kilichokufa?mnaogopa maiti? Vitisho, Ubabe, na matumizi ya hovyo ya taasisi za serikali ya Nini ikiwa mnaamini CDM imekufa?
 
Mbowe ndiye chama acha utoto
 
Mbowe ndo kila kitu Tz kura laki 6 2005 ninyingi sana kikwete mwenyewe hakupata hata Mil 2 ,mtoa unatumika na ccm , ujitambui .
 
Mkuu punguza hasira kama ilivyo ccm na vyama vingine kila chama kina mikakati yake ya ushindi ikiwemo CHADEMA cha msingi jikite katika kutoa ushauri ya kwamba nini kifanyike kati ya chama flani kushinda chama kingine nini kifanyike basi
.chama ni tahasisi hakuna aliejuu ya chama sio mbowe,magu,lipumba au seif wa ACT,ni wanachama pekee wenye chama basi mengine ya ngoswe hunamuachia ngoswe
 
Taratibu wajomba , tunajenga chama
 
msaliti!
 
Unamawazo yanayoshabihiana nami, Mimi hata sjaelewa kinachoendelea, siasa ya Chadema Kwa sasa ni ngumu hata kuitabilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…