Mbowe utakizika chama

Mbowe utakizika chama

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,557
Reaction score
57,856
Kama utang'ang'ania kuwania Urais, unaenda kukizika chama rasmi acha ubishi. Mimi wakati unagombea uwenyekiti nilitoka wazi wazi na kukupinga kuwa haikuwa sahihi, sasa unataka kurudia makosa yale yale uliyofanya kugombea uwenyekiti zaidi ya miaka 15.

Kama ni urais ulishagombea mwaka 2005 na ukapata kura laki 6; huu ni zaidi ya utoto unaotaka kufanya bora hata kumpa nafasi Mnyika au mwanamke, lakini sio wewe zama zako zimepita.

Nakuhakikishia hautapata kula milion 1 hata sisi Wachagga tutakukataa haiwezekani ukifanye chama kama mali yako binafsi kama unaitumikia CCM sema maana umekihujumu chama vya kutosha.
 
Kama utang'ang'ania kuwania Urais unaenda kukizika chama rasmi acha ubishi. Mimi wakati unagombea uwenyekiti nilitoka wazi wazi na kukupiga kuwa haikuwa sahihi sasa unataka kurudia makosa yale yale uliyofanya kupombea uwenyekiti zaidi ya miaka 15.

Kama ni urais ulishagombea mwaka 2015 na ukapata kula laki 6 huu ni zaidi ya utoto unaotaka kufanya bora hata kumpa nafasi Mnyika Au mwanamke lakini sio wewe zama zako zimepita.
Kuwa mpole mwana. Kesho ni nzuri kuliko jana
 
Mbowe aligombea 2005 na alikiletea chama wabunge
Kura laki sita kwa 2005 zilikuwa nyingi tu
Kama utang'ang'ania kuwania Urais unaenda kukizika chama rasmi acha ubishi. Mimi wakati unagombea uwenyekiti nilitoka wazi wazi na kukupiga kuwa haikuwa sahihi sasa unataka kurudia makosa yale yale uliyofanya kupombea uwenyekiti zaidi ya miaka 15.

Kama ni urais ulishagombea mwaka 2015 na ukapata kula laki 6 huu ni zaidi ya utoto unaotaka kufanya bora hata kumpa nafasi Mnyika Au mwanamke lakini sio wewe zama zako zimepita.
 
Mbowe kugombea sio mbaya,,ila timing imekua mbaya,,kufuatia tukio la kuvunjika mguu na kashifa inayoenda na tukio,iwe kweli au sio kweli,hilo tukio limemharibia,
 
Mwaka huu chadema wakitaka ahueni kdg, waende na Lissu, otherwise baada ya uchaguzi chama kitakiwa kimekufa rasmi
 
Huu uzi umeandikwa kimuhemko sana, siku nyingine kabla hujaandika kunywa maji kwanza.

Mnajidai kuijua siasa lakini bahati mbaya hamjui hata taratibu zinazoongoza hiyo siasa yenyewe, wewe kutomtaka Mbowe hakuwafanyi na wengine wasimtake, tulia process zifuatwe atakaeonekana anafaa mwisho wa siku atateuliwa, huku kukurupuka kwenu hakusaidii, Chadema sio chama cha mtu kina taratibu zake.

Halafu unavyosema hata nyie wachaga mtamkataa unamaanisha nini? hapo naona ume expose your highest degree of stupidness, Chadema iko Iringa, Mbeya, mpaka Musoma, wacha ujinga wewe.

Eti nakuhakikishia... nakuhakikishia... who are you, bullshit.
 
Para ya mwisho nimeielewa zaidi, huu siku zote ndio mtazamo wangu kuhusu Mbowe.
 
Kama utang'ang'ania kuwania Urais unaenda kukizika chama rasmi acha ubishi. Mimi wakati unagombea uwenyekiti nilitoka wazi wazi na kukupiga kuwa haikuwa sahihi sasa unataka kurudia makosa yale yale uliyofanya kugombea uwenyekiti zaidi ya miaka 15.

Kama ni urais ulishagombea mwaka 2005 na ukapata kula laki 6 huu ni zaidi ya utoto unaotaka kufanya bora hata kumpa nafasi Mnyika Au mwanamke lakini sio wewe zama zako zimepita.

Nakuhakikishia hautapata kula milion 1 hata sisi wachaga tutakukataa haiwezekani ukifanye chama kama mali yako binafsi kama unaitumikia ccm sema maana umekihujumu chama vya kutosha.
Mkuu kuna kitu gani huku duniani umewahi kuongoza kikawa na tija hadi leo umshauri Mbowe
kwaakili yako ulitaka Mwambe na Sumaye ndio wangekuwa wanaongoza chadema wakiwa Lumumba acheni ujinga
 
Kama utang'ang'ania kuwania Urais unaenda kukizika chama rasmi acha ubishi. Mimi wakati unagombea uwenyekiti nilitoka wazi wazi na kukupiga kuwa haikuwa sahihi sasa unataka kurudia makosa yale yale uliyofanya kugombea uwenyekiti zaidi ya miaka 15.

Kama ni urais ulishagombea mwaka 2005 na ukapata kula laki 6 huu ni zaidi ya utoto unaotaka kufanya bora hata kumpa nafasi Mnyika Au mwanamke lakini sio wewe zama zako zimepita.

Nakuhakikishia hautapata kula milion 1 hata sisi wachaga tutakukataa haiwezekani ukifanye chama kama mali yako binafsi kama unaitumikia ccm sema maana umekihujumu chama vya kutosha.
Sijui Mbowe haoni aibu?
Cdm imedhoofu ameshindwa vita, asisingizie watu kuhongwa pekee naye amekosa mbinu za kimkakati.
Aachie kugombea abaki kuwa mdhauri hilo linamfaa
 
Hizi tetezi kuwa Mbowe usalama wa taifa zinaweza kuwa kweli! Maana tabia zake since 2014 ni kama anatamani chama kife
 
Back
Top Bottom