Mbowe usiwachukue walioachwa na CCM

Hahahahaha Bashe ninamfaham vilivyoo!!kwanza ni Nunda hatari,mbishi hakubali kushindwa kbs....ana constructive ideas..,karibu chadema mkuu!!
Niliekuwa jiran yako nyaishozi
Ha ha ha
Siipendi CCM
 
Siasa ni watu .... nadhani ni busara kutumia silaha yoyote kumshinda adui ... CHADEMA wasifanye makosa , kama ambavyo wamemchukua WEMA SEPETU wafanye hivyo hivyo kuwachukua wote wanaotemwa CCM.... Sophia Simba anakundi kubwa la akina mama ....
Unataka kusema ana kundi kubwa kuliko mamvi? Mbona alipokelewa lakini hatukutoboa magogoni?
 
Wewe acha uzezeta,siasa ni timing,hao wote ni wetu chadema na watadumu chadema kwa sababu kuu mbili.
1.wamefukuzwa ccm moja kwa moja
2.wana hasira na mwenyekiti wa ccm dikteta magufuli.
Mbowe chukua wote tukianza na bashe ili jimbo lake liingie upinzani.
 
Hivi una ndege 3 kuna jirani anao ndege wa 3 alafu anatelekeza ndege 1, utaacha kumchukua na kulisha vizuri awe sawa na hao ulionao? Yeyote akija anachukuliwa hata magu akitaka aje tu
 
Kwanini tusiwachukuwe wakati hili ni tukio, hii nikiki kubwa, chadema kama chadema hakuna Sera ni matukio tu ni hili pia ni lenyewe pa kuponea Magu katubana sana
 
Politics is game, ukicheza vema you gain much
Since mbowe kuwa chairman pale chadema amecheza sana game hizi anazijua,kuanzia akina prof .safari kuwangoa ,Cuf na lema, na msigwa kutoka TLP ,they now big in chadema ,tundu lisu alikuwa nccr now he is popular in chadema, leave lowasa ,sumaye, n.k
Wema now katoka ktk udaku na kupamba gazeti za hard news,
Jamaa he is good political player ,
Japo si mshabiki ila times tells
 
Mhe. Mbowe amani iwe kwako. Fukuzafukuza inayoendelea huko Dodoma itaathiri pa kubwa sana mwenendo wa chama hicho. Tutegemee kupata makapi mengi sana kutaka kujiunga na Chadema. Nikuombe usiwapokee wanachama hao maana yatavuruga sana chama chetu. MTU pekee ambaye anatakiwa kupewa kadi endapo atafukuzwa na CCM ni Bashe. Hussein Bashe ni mtu anayejitambua nadhani kwangu Mimi kati ya wachama wa ccm wote huyu ndiyo mwenye akili timamu. Mpokee kwa mikono miwili. Usijaribu kupokea wengine waliotemwa na kamati ya CCM.
Maoni yangu.
NYC
 
[HASHTAG]#Bashe[/HASHTAG] ni ferar..ni hazina kubwa anakipaji kikubwa na uwezo sana ccm wakilogwa kumfukuza huyu jamaa basi itakuwa bonge la pengo kwa ccm!
 
Mtaji wa siasa ni watu,pokeeni wote watakaobisha hodi kwenu ili mjiongezee mtaji. Msiogope eti ni makapi kwani kharamu ya mwenzako ni halali kwako na halali kwako ni kharamu ya mwenzio!
 
Ushauri mzur. Je mbowe anapokea wanachama wapy kwa matakwa yake au matakwa ya katiba ya chama? Je katiba ya chama inasemaje kuhusu kumpokea yeyote anayetaka kujiunga na chama?
 
Back
Top Bottom