mwananyaso
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,995
- 3,402
Kuna kila dalili inayoonyesha Freeman Aikel Mbowe unachochea moto kuhusiana na tuhuma dhidi ya Sabaya.
kwanza ni mahusiano yako ya karibu na mfanyabiashara na wafanyabiashara baadhi wa mahotel hapo Hai
Kulikua na figusi nyingi katika mapato ya serikali ,lakini baada ya Sabaya kuanza kuwashughulikia mmeanza zengwe.
Pia nguvu kubwa ya vijana wako mitandaoni kumshambulia Sabaya mfululizo kana kwamba tayari kapatikana na hatia wakati bado hiyo ni tuhuma.
Lingine pia ni clip walizoleta hadharani vijana wako ,ni mwehu pekee anaweza sema huo ni ushahidi wa kuonyesha anaomba rushwa .
Ushauri wangu kwa vyombo vinavyohusika kushughulikia sakata hili kua makini sana katika kulishughulikia,msije kucheza ngoma msio ijua mkajikuta mnaingia kwenye matatizo ya kusababishiwa.
Onyesheni weledi na haki katika kushughulikia sakata hili,macho na masikio ya watanzania wote yapo kwenu,hasa mkuu wa nchi, double check lazima ifanyike dhidi ya kadhia hii.