ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,681
Kiongozi tuko pamoja
Nakusalimu...
Huwa simuelewi kabisa Mbowe.Hivi si alikuwa anatumia Shangingi la serikali kama kiongozi wa kambi ya upinzani,mbona hakulikataa ili kuonyesha mfano.Wapinzani wa Tanzania bado sana,itachukua muda kuingia Ikulu.
mbona inawezekana hakuna haja ya kuwa na gari la mil 200 kwenye wilaya wakat watoto wanakaa chini darasani au wakulima wanakopwa mazao,good focus
Ni kweli kauza kwa bei hiyo mkuu!ni habari kamiliHalafu lilionekana likifanyakazi za kampeni za CHADEMA mahali, lol Mbowe haaminiki. Naweza kukubali kuwa jamaa kauza nafasi ya urais kwa Lowasa kwa blioni 10 na kumtupilia mbali Dr. Slaa.
Ni kweli kauza kwa bei hiyo mkuu!ni habari kamili
Ni kweli kauza kwa bei hiyo mkuu!ni habari kamili
Huwa simuelewi kabisa Mbowe.Hivi si alikuwa anatumia Shangingi la serikali kama kiongozi wa kambi ya upinzani,mbona hakulikataa ili kuonyesha mfano.Wapinzani wa Tanzania bado sana,itachukua muda kuingia Ikulu.
Na wanazo nyingine tu,sema siwezi kuweka vitu hadharani mkuu!kazi ipo hii nchi yetuSasa huyu rais wa kununua watu namna hii akiingia ikulu atafanya biashara gani kurudisha pesa zote hizo? Nilikuwa nasoma makala fulani inasema kuwa mpaka jana tarehe 21 Agosti 2015 Lowasa ameshatumia bilioni 106 kutafuta urais kuanzia ndani ya CCM miaka miwili na nusu iliyopita hadi CHADEMA aliko sasa.
Mbowe ni mtu makini na ana akili sana. Maashangingi ni sera ya CCM kuwanunulia mawaziri na viongozi wakuu. Kwa taarifa yako gari la KUB ni lazima sio hiari. Halikopeshwi. Sera ya CDM sio mashangingi.UPO hapo?