Uchaguzi 2020 CHADEMA ili iwe na nguvu kwenye kampeni imsimashe Mbowe

abdulhamis

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
1,436
2,292
Habar wadau

Katika pitapita zangu kwenye baadhi ya midahalo nimeweza kuangalia baadhi ya mikutano ya Mbowe na Tundu Lissu na kubaini ubora wa wote wawili kwenye majukwaa

Kwanini nasema CHADEMA wamsimamishe Mbowe kwenye uchaguzi ujao kama mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA, ni kwa sababu Mbowe ni mzuri sana kwenye siasa za majukwaa kumshinda Tundu Lissu mbali Sana

Tundu Lissu kwanza sio mjenga hoja mzuri tuwe wakweli tumeona hata kwenye baadhi ya hotuba zake mara nyingi huwa anajikita katika kutafuta huruma kwa watu na sio kuwashawishi watu kisiasa

Hii ni tofauti na Mbowe ambae anaweza akaongea hata propaganda ambayo ni ngumu watu kuamini ila akaifanya kuwa ya kweli kwa ujanja wake wa kuweza kucheza na emotions za watu

Mbowe ndio mtu pekee anaweza akadangaya uongo ukaonekana kweli ila Tundu Lissu siwashauri CHADEMA na kama atakuwa muhimu sana kwenu Tundu Lissu basi kwenye mikutano asilimia kubwa awe anaongea Mbowe bilah ivyo itakuwa majanga kwenye jukwaa.
 
Chadema mpaka sasa hawajielewi.
mgombea urais Msigwa,yani msigwa ndo awe rais wa tanzania?Chadema acheni utani basi.
 
Kwani amepitishwa? Tofauti na ccm CDM kuna demokrasia hata wewe unaweza kutia nia. Ccm thubutu kugombea na magu upoteze nafasi zako zote ndani ya chama na serikali.
 
Kwa hiyo kumbe kachukua form ili kutest au kuzuga,ila hana nia?
Hivi kwa mfano akichaguliwa ndani ya chama mtamkata mseme hafai alichukua fomu kuchangamsha siasa tu za ndani ya CDM?
 
Mh, Mbowe A.k.a mwamba nadhani hapo chadema sioni mtu mwenye sifa za mapambano yakuinyoosha ccm tofauti na Mbowe .

Mbowe For now Mbowe for future.

Jamani sisi ambao tuko addicted na siasa tunamtaka Mbowe ili kumnyoosha Babu chattle.

Kiukweli nimekosa Imani na Retired anyesambaza habari za kuteua wagombea ambao wamekosa ushawishi kama Lissu na Membe , Lissu katoka Nccr Membe ccm , tunamtaka mpinzani halisi.
 
Moderator msiunganishe hii thread.

We MAMLUKI kaa kimya sindano za CDM zikuingie, peopleeeeeesss!!!
 
Mh, Mbowe A.k.a mwamba nadhani hapo chadema sioni mtu mwenye sifa za mapambano yakuinyoosha ccm tofauti na Mbowe .

Mbowe For now Mbowe for future.

Jamani sisi ambao tuko addicted na siasa tunamtaka Mbowe ili kumnyoosha Babu chattle.

Moderator msiunganishe hii thread.

Kiukweli nimekosa Imani na Retired anyesambaza habari za kuteua wagombea ambao wamekosa ushawishi kama Lissu na Membe , Lissu katoka Nccr Membe ccm , tunamtaka mpinzani halisi.
Kwanza muandiko mbaya *unapashwa"ndio Nini? Kwani MBOWE kajiunga juzi na chadema mpaka useme ana uwezo wa kuinyoosha CCM,anazeeka hapo Cha Domo na kashindwa ataweza leo? Watoto mmevamia siasa juzi mnakuja kujaza sever tu
 
Ahaaaa, we utakuwa ulibashite
 
Back
Top Bottom