kwanza rekebisha kiswahili ndio maana tunazidiwa na wachina, ajiuzulu sio ajiuzuru, ila ccm inavyofanya sio kabisa, yani dah, yani iko juu ya sheria, wanadanganya kuwa mahakama imezuia, mahakama inakanusha kuwa hakuna kitu kama hicho, halafu unachekelea, ati kama kachoka ajiuzulu, mie naona upo katika huo mgawo wa huo ufisadi uliogundulikaEti anasema amechoka, si ajiuzuru sasa.
Kuna mambo yanaendelea yanaonyesha kabisa ni upuuzi wa kisiasa ...kilombero walikamata wabunge wa CDM matokeo yake uchaguzi ukawapa ushindi CCM...Dar wanazuga na kuzunguka tu. Tujaribu kutazama mambo bila kuegemea mitazamo ya kisiasa. Kwa haya yanayoendelea wenye akili wanasoma michezo ya kitoto ya CCM...wataharibu amani bila sababu ya msingi.
Yupo Arusha,hawezi kusema maana ndiye aliyetoa order.Na pia watasema haimuhusu inamuhusu Mkuu wa Mkoa na Mkurugenzi
We unadhani hajui yanayoendelea?hii Africa ndivyo ilivyo wenye makosa siku zote ni wapinzani tu,watawala ni watakatifuHivi Mh maguli yupo? Au kasafiri nje ya nchi, amesikia au hajasikia?
Hakuna anayeweza kuharibu Amani TanZania tusidanganyane wala kutishana kwa maana hakuna alikuwa juu ya Sheria za nchi yetu isipokuwa Raisi wa JMTZ!
Nionavyo mimi ni kwamba viongozi wachache kutoka vyama vyetu vya upinzani wanapenda kufanya vitendo vinavyoambatana na jazba kwa lengo la kuwaridhisha wapiga kura wao bila kujua kwamba vitendo hivyo ni kinyume cha sheria za nchi matokeo yake wakikamatwa wanasingizia kuonewa. Hakuna mtu ambaye yuko juu ya sheria zilizopo ukituhumiwa kuzivunja huna budi kukamatwa na ufikishwe mbele ya mahakama
That's immature argumentSasa kama Mwenyekiti wetu anaishia kulalamika, sisi mashabiki tutafanyaje? Haya ndo madhara ya chama chetu kuongozwa na mtu ambaye hajapevuka kisiasa. Bora Mwenyekiti awe Lowasa, mzee wa maamuzi mahumu
Dua la kuku? Kulaani kumeshasaidia vipi?Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA,Freeman Mbowe amesema chama chake kimechoshwa na kukamatwa kwa Wabunge wake kwa hila za kisiasa. Akihojiwa na ITV,Mbowe amesema chama chake kinalaani kukamatwa na kudhalilishwa kwa Wabunge wake.
Mbowe amesema chama chake kinalaani hila zote na kuitaka Serikali itende haki hasa kwenye uchaguzi wa Meya wa Dar es Salaam. Leo nyumba ya Mbunge wa Kawe Halima Mdee imekaguliwa na polisi wanaosemwa kuwa walikuwa wakisaka nyaraka.
Mbunge Mdee amedai kuwa Mbunge wa Ukonga,Mwita Mwikwabe amekamatwa na polisi. Pia,Mbunge Lijualikali wa Kilombero amekamatwa na polisi.
Kesi ya nyani hupelekwa kwa ngedere?Hivi Mh maguli yupo? Au kasafiri nje ya nchi, amesikia au hajasikia?
Very narrow mind! Poor you.Kama kachoka aingize Kwato yeye mwenyewe au vurugu zianzie Moshi ths time, haiwezakn Miaka yote Kilimanjaro kuwe tulivu wanaendelea na shughuli za maendeleo fujo waje kuchochea kwny miji ya wenzao, kama tatizo ni Ccm hata moshi Iko chini ya serikal ya ccm
Aisee hivi unakunywa kinywaji gani, weekend nitafute bill on my wallet.Aisee Chadema mngejua tu jinsi mnavyotuchosha na siasa zenu za magazeti na TV, mngetafuta tu namna nyingine ya kufanya siasa mtupumzishe na huo utoto wenu, sasa nani atamjua halima au lijualikali bila kujikamatisha kwa polisi halafu kesho yake atangazwe kua kakamatwa, halafu mbowe aseme kua amechoshwa tulijua tu lazima mbowe aseme hivyo ili kujipatia media coverage baada ya Chadema kudoda, hiyo ni nitoke vipi ya wanaukawa, tufanye shughuli zetu tuachane na watafuta umaarufu kupitia magazeti na TV.
Mkuu vipi yule aliyetoa zuio feki,unadhani anatengeneza nini?kwa mujibu wa sheria ilitakiwa awe ndani na kupandishwa kizimbani,kwa kosa LA kudanganya na kuisingizia mahakama,lakini imekuwa kinyume chake na si ajabu akapandishwa cheoHakuna anayeweza kuharibu Amani TanZania tusidanganyane wala kutishana kwa maana hakuna alikuwa juu ya Sheria za nchi yetu isipokuwa Raisi wa JMTZ!
Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA,Freeman Mbowe amesema chama chake kimechoshwa na kukamatwa kwa Wabunge wake kwa hila za kisiasa. Akihojiwa na ITV,Mbowe amesema chama chake kinalaani kukamatwa na kudhalilishwa kwa Wabunge wake.
Mbowe amesema chama chake kinalaani hila zote na kuitaka Serikali itende haki hasa kwenye uchaguzi wa Meya wa Dar es Salaam. Leo nyumba ya Mbunge wa Kawe Halima Mdee imekaguliwa na polisi wanaosemwa kuwa walikuwa wakisaka nyaraka.
Mbunge Mdee amedai kuwa Mbunge wa Ukonga,Mwita Mwikwabe amekamatwa na polisi. Pia,Mbunge Lijualikali wa Kilombero amekamatwa na polisi.
Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA,Freeman Mbowe amesema chama chake kimechoshwa na kukamatwa kwa Wabunge wake kwa hila za kisiasa. Akihojiwa na ITV,Mbowe amesema chama chake kinalaani kukamatwa na kudhalilishwa kwa Wabunge wake.
Mbowe amesema chama chake kinalaani hila zote na kuitaka Serikali itende haki hasa kwenye uchaguzi wa Meya wa Dar es Salaam. Leo nyumba ya Mbunge wa Kawe Halima Mdee imekaguliwa na polisi wanaosemwa kuwa walikuwa wakisaka nyaraka.
Mbunge Mdee amedai kuwa Mbunge wa Ukonga,Mwita Mwikwabe amekamatwa na polisi. Pia,Mbunge Lijualikali wa Kilombero amekamatwa na polisi.
Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA,Freeman Mbowe amesema chama chake kimechoshwa na kukamatwa kwa Wabunge wake kwa hila za kisiasa. Akihojiwa na ITV,Mbowe amesema chama chake kinalaani kukamatwa na kudhalilishwa kwa Wabunge wake.
Mbowe amesema chama chake kinalaani hila zote na kuitaka Serikali itende haki hasa kwenye uchaguzi wa Meya wa Dar es Salaam. Leo nyumba ya Mbunge wa Kawe Halima Mdee imekaguliwa na polisi wanaosemwa kuwa walikuwa wakisaka nyaraka.
Mbunge Mdee amedai kuwa Mbunge wa Ukonga,Mwita Mwikwabe amekamatwa na polisi. Pia,Mbunge Lijualikali wa Kilombero amekamatwa na polisi.
Wawe na nidhamu huwezi kuitwa Mheshimiwa kama huwezi kutawala hasira, Mnamburuta mama wa watu-RAS wa Dar na kuchana nguo zake, Mbona huo udhalilishaji wa huyo mama hamulaani?Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA,Freeman Mbowe amesema chama chake kimechoshwa na kukamatwa kwa Wabunge wake kwa hila za kisiasa. Akihojiwa na ITV,Mbowe amesema chama chake kinalaani kukamatwa na kudhalilishwa kwa Wabunge wake.
Mbowe amesema chama chake kinalaani hila zote na kuitaka Serikali itende haki hasa kwenye uchaguzi wa Meya wa Dar es Salaam. Leo nyumba ya Mbunge wa Kawe Halima Mdee imekaguliwa na polisi wanaosemwa kuwa walikuwa wakisaka nyaraka.
Mbunge Mdee amedai kuwa Mbunge wa Ukonga,Mwita Mwikwabe amekamatwa na polisi. Pia,Mbunge Lijualikali wa Kilombero amekamatwa na polisi.
Kwa kauli hii moja kwa moja Mbowe amepoteza uhalali wa kuwa mwenyekiti wa Chadema wala kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani....ni ambayo haikutegemewq kutolewa na mtu kama yeye hasa katika kipindi hiki kigumu kwa wabunge wa upinzani hapa Dar.....Mbowe amepoteza mvuto na hamasa kwa wanachama
Hana budi kuondoka na kuwaachia wengine.....
SEMA KWELI JAPO INAUMA....