Mbowe: Tumechoka!

yeah man...hit below the belt
 
Mbowe acheni kelele kama kweli mnaonewa. Hebu Fanyeni vitu ambavyo vitasababisha muheshimiwe na hao wanaowaonea. Kila siku mnalalamika tu kwa wananchi ambao hawana mchango wowote ule
 
Ukichoka unapumzika, so Mr Mbowe pumzikeni kwanza
 
precisely
 
Kwa kauli hii moja kwa moja Mbowe amepoteza uhalali wa kuwa mwenyekiti wa Chadema wala kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani....ni ambayo haikutegemewq kutolewa na mtu kama yeye hasa katika kipindi hiki kigumu kwa wabunge wa upinzani hapa Dar.....Mbowe amepoteza mvuto na hamasa kwa wanachama
Hana budi kuondoka na kuwaachia wengine.....

SEMA KWELI JAPO INAUMA....
 
Tume ya CCM iliona iharakishe kutangaza matokeo ya rais uchaguzi mkuu 2015 wakasahau matokeo ya ubunge na udiwani.Leo hii wanawanga mchana bila aibu kwa kulamizisha umeya kwa idadi ndogo waliyokuwanayo.
 
Ccm machoni kwa watu wataendelea kuchezea vichapo tu!
 
Mwaka jana, CCM wameiba kura za LOWASSA, tukapiga kimya!
Wakafuta uchaguzi wa Zanzibar kisa Maalim alishinda, tukamezea na kuvuta subira.
Leo wanadhulumu viti vya uenyekiti wa halmashauri na umeya, tunyamaze pia? Tuishie kutoa matamko? Hapana!
CHADEMA tutendeeni haki wanachama wenu, sisi sio waoga kihivyo! Semeni mnataka tufanyeje! Tuko radhi!!
HAKI itendeke!
 
Mkuu pamoja na Mazuri yote anayoyafanya JPM ambaye namkubali kwa asilimia mia lakini katika hili tuwe wazi kuna kasoro hapa ...ni lazima kama tupo kwenye demokrasia tuiingatie kwa vitendo
 
Mbowe leo kiukweli ameongea kma mtoto mdogo yafaa awaachie vijana cheo kina mnyika
 
Naona hali imeshakuwa mbaya, unataguta nabwa JF, kwa bahati mbaya wachangiaji wote hawahitaji kuchi
 
Unaweza ukadhani ni sifa lakini kinachojengwa ni kiovu kupitiliza.Hujui kesho yako.Siasa siyo mwisho wa kila kitu.Kuna maisha nje ya siasa.

maneno ya mkosaji hayo

tuliwaeleza kumbeza magufuli kabla ya hizi chaguzi ilikuwa ni ujinga!! hamkutka kusikia

magufuli ni CDM kwa matendo; mmemlazimisha kuwa CCM

wapuuzi nyie
 
Ndo maana mnafeli mitihani hata hamsomi vizuri. Mwandishi hajasema Mbowe ndo amechoka, bali wafuasi ndo wamechoka. Wanamsihi afanye maamuzi kwa maana nyingine. Read between lines before you comment.
 
maneno ya mkosaji hayo

tuliwaeleza kumbeza magufuli kabla ya hizi chaguzi ilikuwa ni ujinga!! hamkutka kusikia

magufuli ni CDM kwa matendo; mmemlazimisha kuwa CCM

wapuuzi nyie

Kweli CCM imwaharibu vijana akili , kama huyu naye ni GT oh poor Tz
 
Msituni mtaingia wachaga na watu wa kaskazini tuu, watu wenye akili timamu hawawezi kuukubali huu ujinga wa CDM wa kutotumia demokrasia ndani ya chama na kuhubiri demokrasia nje, uzuri watanzania wameshafahamu kuwa Mbowe na CDM ni jipu sugu na mkilinzisha mtashughulikiwa kwa nguvu zote, na uache kusema watanzania ni wajinga sema wachaga na watu wa kaskazini ndio wajinga wanahubiri na kutaka usawa wakati wanapeana madaraka na vyeo na kugawana rukuzu wao kwa wao...watanzania ambao hawatoki kaskazini weshawashtukia labda akina Lissu et al ambao nao wako kwenye mfereji wa ruzuku ndio wanaowaunga mkono...mtaisoma namba awamu hii.
 
maneno ya mkosaji hayo

tuliwaeleza kumbeza magufuli kabla ya hizi chaguzi ilikuwa ni ujinga!! hamkutka kusikia

magufuli ni CDM kwa matendo; mmemlazimisha kuwa CCM

wapuuzi nyie
Mpuuzi mwenyewe.Umeshawahi kuona namtukana mtu.??Ni jibu kwa hoja lakini usiniiye mpuuzi. Sasa mpuuzi ni wewe mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…