jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,053
- 28,245
Katibu Mkuu wa CHADEMA aliutangazia umma wa watanzania kuwa walihairisha mchakato wa uchaguzi ndani ya Chama chao juu ya sababu mbalimbali na aliahidi mchakato huo ungefanyika mwezi juni 2019 badala ya Desemba 2018.
Hadi ninapoandika thread hii mchakato wa uchaguzi ndani ya Chadema haujakamilika.
Hii inamaanisha nini basi.
Hii ina maana uongozi wa CHADEMA uliopo hauna uhalali kisheria.
Hii pia inamaanisha CHADEMA ilikosa watu wa kugombea ndani ya chama chao na hivyo walikuwa wakitegemea kuwapata wakatwa mikia ambao hutokea baada ya mchakato wa ndani ya CCM wa kusaka wagombea.
Mwaka huu kwa mshangao wakatwaji hawajaenda Chadema.
Je, uongozi wa CHADEMA uliopo ni halali kisheria? Kwanini hatuelezwi haya?