SAWA KUJUNJWA kwake . lakini kuvunjwa kwake kuwe ni kuingiza chombo kama TAKURu katika katiba na ambacho kitakuwa huru. Mkurugenzi wake apigiwe kura bungeni. Raisi atoe jina na upinzani utoe jina
Kumbe kwa mzunguko huo bilioni zetu sisi ( Mimi na Zomba) zitapona. Maana sisi tuliweka visiwani, kule alikoweka AC vijishilingi vyake !
Kwanini asilete mswada wa mabadiliko ya sheria ya TAKUKURU Bungeni ili kuipa hiyo taasisi meno zaidi?
Umesema kweli mkuu, CDM haipaswi kufuta mkumbo wa CCM wa kila mtu kulalamika mpaka mwenyekiti wao. Kama walivyofanya Zitto  na Mdee . Mbowe Tengeneza hoja binafsi ya kupinga Ufisadi wa TAKUKURU wa kulipwa mshahara hewa bira kufanya kazi!Kwanini asilete mswada wa mabadiliko ya sheria ya TAKUKURU Bungeni ili kuipa hiyo taasisi meno zaidi?
takukuru ni kituko mbunge mmoja juzi alisema eti kwenye kipindi cha kampeini ukiwapigia simu kuwa kuna mgombea anagawa rushwa mahali fulani kabla yakufika kwenye tukio wanampigia simu mtoa rushwa kuwa wanakuja kwa hiyo asitishe zoezi la kutoa rushwa kabla hawajafika! Hayo ndiyo maajabu ya takukuru.
Mbowe amajuwa hao hawataishia Uswisi, itabidi wapite Uingereza na Dubai. Hapo sasa!
Kwanini asilete mswada wa mabadiliko ya sheria ya TAKUKURU Bungeni ili kuipa hiyo taasisi meno zaidi?
Kweli kabisa,Takukuru iwe dismantled,kwa kuzungumza uongo juu ya Zungu.
siyo wote tunafaidika ndani ya TAKUKURU kwani tulio humu ndo tunajua nini kinaendelea kwani wanaofaidika ni watu wa karibu na Dr. Hosea mfano:.kuna wafanyakazi wanahama vituo kila mwaka wakati wengine wanamiaka 10 kituo kimoja,posho tofauti za kazi,wapambe wake anawasomesha nje,hamna pesa za msiba,majengo yanajengwa watumishi hawana kitu sababu tu ya ten percent,amejaza mademu zake na ndugu zake makao makuu na vitengo vyenye ulaji kama procurement,intellegence,na kubwa kampa kitengo cha mashauri ya madai demu wake ambaye ni juniour TAKUKURU kisa mpenzi wake KWELI IFUTWE HATA SISI BAADHI YA WATUMISHI HUMU HATUFAIDIKI.TUMECHOKA!
Si