Mbowe sio yule tuliyemzoea

Bange tu zinakusumbua
 
Freeman tunayemjua sisi, ni yule yule asiyependa damu ya mfuasi wake kumwagika kwa ajili ya madaraka. Kumbuka wakati Dr. Slaa alipotaka kukataa matokeo, Freeman alimwambia atulize munkar . wewe mleta mada unataka afanyeje , aruhusu vijana waigie mitaani halafu waumizwe na polisi?. Acha kupanda uchochezi wako kwenye chama cha wastaarabu.(CDM),.Freeman ni mstaarabu ndiyo maana unaona chama kinapendwa nchini kote.Hatutaki vijana wetu waumizwe .Freeman kijana wa mzee Akael endeleza ustaarabu , wewe ni msataarabu, huyu alieandika Uzi huu, ni adui mkubwa wa Chadema.
 
Propaganda za bashite Utacheka kweli unataka ukuta na hiyo mioyo ya plastic mutaweza shughuli yake
 

Mbowe uliyemzoelea wapi? Ina maana wewe umemzoea Mbowe kuliko Dr. Lilian? Wacheni umbwiga nyie misukule wa ccm
 
Nyie ndo magufuli anawatukana pumbafuu...mtu aliyekosa kujiamini ungepoteza muda wako kumjadili hapa?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…