Mbowe sio yule tuliyemzoea

Kila mbunge yupo huru kufanya mkutano jimboni kwake,ongea na wapiga kura wako ujue matatizo yao jimboni kwa mwenzako unatafuta nini!
Katiba ya nchi inaruhusu vyama vya siasa kufanya mikutano popote nchini ili mradi sheria za nchi hazivunjwi.
 
Jina la mtu linaanza na herufi kubwa.
 
Wanafiki ktk ubora wa unafiki wao kazi yao kuwaramba wakubwa zao miguu!
 
Nimeona video moja ya ubungo, Mbowe alikuwa ana wasi wasi na mda haina mfano, alikuwa anaogopa kupitiliza mda aliopangiwa na waliompa ruhusa ya kuongea tofauti na enzi zile.
Nyomi ile uliiona?
 
watoa ahadi wapo kibao hivyo kutotimiza ahadi isiwe tatizo mbona zile sh 50 mil kila kjj mpaka leo tunasubiri na hao wanaosubiri dola waendelee tu huwezi jua huko tuendako huenda ikapatikana.
 
Kila mbunge yupo huru kufanya mkutano jimboni kwake,ongea na wapiga kura wako ujue matatizo yao jimboni kwa mwenzako unatafuta nini!

Shule inaumuhimu mkubwa sana inaweza kukusaidia kupambanua mambo kwa uelewa mkubwa sana
Je kama hyo hoja isingeletwa ungeongea nn na je kwa kipindi cha miaka mingapi hoja yako ilkuwepo

Nadhani ni bora ungeandaa makala ya kumsifu mwenyekiti wako wanachama wenzio wangeona wamepata kada mwenye upeo mkubwa

Kumponda mbowe hakukuongezei CV ndani ya chama chako

Jipange [emoji41]
 
MTU mwenye akili timamu hawezi kutafakari mambo kwa mazowea bali huyatazama na kuyatafakari mambo kiyakinifu.Nashangaa kusikia mtu eti Mbowe si yule tuliyemzowea!Hee mtu mzima unatumia mazowea?Halafu unataka kuambukiza na wengine upumbavu wako?Acha dhana ya mazowea.
 
Hatari kubwa wasaidizi wakihoji wanapotezwa kwa kuisingizia serikali!
Kama kweli kuna aliepotezwa na wapinzani nafasi ya kujificha isingekuwepo lzm abgejulikana na taarifa zote kuwekwa hadharani. mm siamini kuwa waliopotea wamepotezwa tena na wapibzani
 

Huwa hakurupukii mambo!!!!!!!!!!!!
 
Mlivyokuwa mnawataja mafisadi kwenye "list of shame" uliona sahihi? Au ulikiwa hata hujaota meno, funza brain
Hahahha juzi sikua sijaota meno .. acha kuandika kwa kutumia makalio wewe. yaani nyinyi ndio think tank ya ccm hapa jf? kazi ipo kweli.
 
Nilicheka sana siku nilipoambiwa kuwa ww ni jike,kumbe kipara ni 0 brn, ooh nimezisamehe post zako zote.
 
Pale unapoongozwa na kichaa ufundi unatakiwa kukabiliana nayo. Kichaa kapewa rungu stand
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…