Poa no problem jibu mtalipata 2020 uchaguzi mkuu.Zile helikopta na boda boda na misururu ya magari ya kambeni hamtaziona tenaLet them go.....!
Ikizibwa njia moja inafunguka ingineWanaotaka Mbowe atoke Ni Wafadhili wa Chadema wa ndani na nje.Mbowe akirudi madarakani chadema itakuwa moja ya vyama maskini kuliko Chama chochote.
Matajiri na Wenye fedha wa ndani na nje wanaiaga rasmi chadema.Wana chadema mchague mawili Mbowe abaki au Wafadhili wenu waondoke
Ujinga tu, kuitoa ccm madarakani kwa ushawishi wa wananchi kwa sera bora zaidi, kidemokrasia na kuwapo wafadbili ndani na nje kuna uhusiano gani?Wanaotaka Mbowe atoke Ni Wafadhili wa Chadema wa ndani na nje.Mbowe akirudi madarakani chadema itakuwa moja ya vyama maskini kuliko Chama chochote.
Matajiri na Wenye fedha wa ndani na nje wanaiaga rasmi chadema.Wana chadema mchague mawili Mbowe abaki au Wafadhili wenu waondoke
AmenIkizibwa njia moja inafunguka ingine
Wanaotaka Mbowe atoke Ni Wafadhili wa Chadema wa ndani na nje.Mbowe akirudi madarakani chadema itakuwa moja ya vyama maskini kuliko Chama chochote.
Matajiri na Wenye fedha wa ndani na nje wanaiaga rasmi chadema.Wana chadema mchague mawili Mbowe abaki au Wafadhili wenu waondoke
maajabu ya kiwango cha SGR!Ccm eti ndio wanahangaika na Mbowe, badala ya wanachama wa Chadema si maajabu haya.
Hawatakosekana kwa sababu ya uwepo wa Mbowe, ila kwa sababu ya JIWE na dola yake kukataza siasa. Hivi hujui kuwa shughuli za siasa zimepigwa marufuku na huyo mwehu?Poa no problem jibu mtalipata 2020 uchaguzi mkuu.Zile helikopta na boda boda na misururu ya magari ya kambeni hamtaziona tena
Na wale wadeki barabara hamutawaona