Mbowe shikilia hapo hapo, CHADEMA can't be for dogs!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,107
9,236
Mwaka 1995 Mwalimu Nyerere alipoona nguvu ya Mrema ilivokuwa na ombwe lililokuwepo ktk uongozi wa nchi!Aliamua kusimama kidete kunusuru nchi.(sio CCM) na kumpigis Kampeni ya nguvu BWM na hatmaye akawa Rais.

Mwalimu alitumia msemo wa Kingereza tafsiri siwezi kukaa Butiama na kuiacha nchi MIKONONI mwa mbwa(going to dogs)Kila mtu alitafsiri kivyake,wengine walisema alitukana!

Leo hii tunasikia kelele nyingi,kuhusu Mwenyekiti wa CHADEMA kuwa amekaa Sana ,awaachie na wengine!
Aidha anavunja katiba.

Kinadharia inaweza kuwa kweli!
Lakini katika mazingira ya Siasa za kihunii zilizoendeshwa kwa Miaka 4 sasa Ni ngumu sana Kuwaamini Hawa wema walijiotokeza kuitakia mema CHADEMA kwa kimtaka Mbowe apumzike!

Haya NI machozi ya mamba! Mbowe Shikilia hapohapo huwezi kuwaachia Chama Mbwa!
 
Mbowe shikilia hapo hapo, hakuna kutoka, nakuapia ukitoka na CDM imetoka. Ingelikuwa siyo dikiteita kuapa kuua upinzani kwa Jiwe, ningelisema wapishe wengine, lkn katika era ya hili jiwe, SHIKILIA HAPO HAPO, MWAMBA TUVUSHE!
 
Wanaotaka Mbowe atoke Ni Wafadhili wa Chadema wa ndani na nje.Mbowe akirudi madarakani chadema itakuwa moja ya vyama maskini kuliko Chama chochote.

Matajiri na Wenye fedha wa ndani na nje wanaiaga rasmi chadema.Wana chadema mchague mawili Mbowe abaki au Wafadhili wenu waondoke
 
Ujinga tu, kuitoa ccm madarakani kwa ushawishi wa wananchi kwa sera bora zaidi, kidemokrasia na kuwapo wafadbili ndani na nje kuna uhusiano gani?
 
Mh. Mbowe anawazidi watu wengi sana maarifa, Mbowe anajua siasa za field na si siasa hizi za kwenye makaratasi; Bila Mbowe siasa za upinzani Tanzania zisingekuwa zimefikia hapa zilipo; zingekiwa mochwaree.
Yaani kitendo cha CCM kuomba poo katika uchaguzi wa Serikali za mitaa ni ushahidi tosha.

Mbowe ni Jabari la siasa Afrika, nguli wa siasa za upinzani ..hili halina ubishi kabisa.

Mungu akulinde Mh. Mbowe, eti wanataka uachie njiani ili wapumue...
 
Hao ni wafadhili uchwara kama wana mawazo kama hayo unayosema wewe!
Wanaotaka Mbowe atoke Ni Wafadhili wa Chadema wa ndani na nje.Mbowe akirudi madarakani chadema itakuwa moja ya vyama maskini kuliko Chama chochote.

Matajiri na Wenye fedha wa ndani na nje wanaiaga rasmi chadema.Wana chadema mchague mawili Mbowe abaki au Wafadhili wenu waondoke
 
Poa no problem jibu mtalipata 2020 uchaguzi mkuu.Zile helikopta na boda boda na misururu ya magari ya kambeni hamtaziona tena
Na wale wadeki barabara hamutawaona
Hawatakosekana kwa sababu ya uwepo wa Mbowe, ila kwa sababu ya JIWE na dola yake kukataza siasa. Hivi hujui kuwa shughuli za siasa zimepigwa marufuku na huyo mwehu?
 
But also cdm can't be for mbowe forever let's think different
 
Mara ya kwanza kusikia habari mbaya kuhusu hujuma za CCM kwa Mbowe ilikua August 2016, nikiwa na Heri Kilewo pale Mikocheni jirani na ofisi za MDH usiku. Akaniambia wameblock accounts za Mbowe na kwamba walikua wakindelea na mipango miovu dhidi yao!

Kwahio, I support Freeman Mbowe kuendelea kushika madaraka, he is a Free man!
 
40 Reactions
Reply
Back
Top Bottom