Mbowe sasa avuka mipaka, afanya matumizi ya gari la serikali kwa shughuli za CHADEMA

mbona fast jet anatumia gar za serikali kwa shughuli kichama?acha kuwa na fikra finyu... nafikuri jf ni kwa ajili ya kujadili mambo ya msingi kwa maendeleo ya Taifa.

Kwahiyo kama JK kafanya ndio na Mbowe afanye?

Eti wewe nae ni mjumbe JF?

Watu kama wewe hamstahili hata kuwa wasomaji tu
 
Hivi ni lazima mimi ndio niseme ya Kikwete? wewe kama una ushahidi na hayo uliyo yasema na umeona kuna haja ya kuyawasilisha hapa jamvini, basi jenga hoja yako na uilete hapa.

Mkuu acha unafiki.

Mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako wakati huangalii boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe?!

Tafakari!
 
mbona fast jet anatumia gar za serikali kwa shughuli kichama?acha kuwa na fikra finyu... nafikuri jf ni kwa ajili ya kujadili mambo ya msingi kwa maendeleo ya Taifa.

Kwahiyo kama JK kafanya ndio na Mbowe afanye?

Eti wewe nae ni mjumbe JF?

Watu kama wewe hamstahili hata kuwa wasomaji humu jamvini.
 
Mkuu huyu ni yule mtoto wa mbowe ambaye humtumia kwa maigizo kudanganya watu?
Ninaisikitikia JamiiForums kwa ilivyo sasa hasa baada ya NEC ya CCM kuamua kuajiri watu wa kuitetea mitandaoni. JF imevamiwa na Mapinda kibao hata ile raha ya zamani ya kuwa eneo la KUJIELIMISHA, KUJIBURUDISHA na KUJILIWAZA imepotea kabisa. Kuna watu waliandika research zao kwa kusaidiwa na yale waliyoyasoma hapa JF,lakini baada ya kundi hili kuingia kwa fujo imekuwa mahala pa kujifunzia kejeli,matusi na mambo yote yasiyo faa katika jamii.
tufanyeje kuondokana na hali hii na kurudisha heshima ya JF?
 
kwa hiyo unataka kuniaminisha kuwa sera za chdm ni kama za ccm. mbowe hajakosea? kama ni hivyo si bora tuwaache ccm haohao madarakani? mabadiliko ya sura ya nini hali ya kuwa sera ni zilezile?
Mkuu, comments zangu ni fupi mno ambazo hazichukui hata dakika moja kumaliza kusoma. Nilisema "Kama Mbowe anafanya makosa, Serikali ya CCM inaogopa nini kumchukulia hatua?" Je haukuona hii sentensi au haukuielewa? I don't care who did it, kosa ni kosa, kafanya CDM au CCM Sheria lazima uchukue mkondo wake. Simlaumu mtenda kosa, nailaumu serikali kwa kushindwa kusimamia sheria.
 
Hizi ni harakati za ukombozi wa pili wa taifa letu kwa hiyo kama anatumia hilo gari ni kwa manufaa ya wananchi. Tunamuunga mkono. GO!! GO!! GO KAMANDA
 
Mkuu, comments zangu ni fupi mno ambazo hazichukui hata dakika moja kumaliza kusoma. Nilisema "Kama Mbowe anafanya makosa, Serikali ya CCM inaogopa nini kumchukulia hatua?" Je haukuona hii sentensi au haukuielewa? I don't care who did it, kosa ni kosa, kafanya CDM au CCM Sheria lazima uchukue mkondo wake. Simlaumu mtenda kosa, nailaumu serikali kwa kushindwa kusimamia sheria.
humlaumu mtenda kosa!? nchi hii ina vichaa wengi!
 
HAMY-D inabidi upimwe akili sasa, kwani hujui kuwa mbowe kapewa gari gari hilo kama kiongozi wa upinzani na si kiongozi wa serikali, na shughuli anazofanya kwa kutumia gari hilo ni shughuli za upinzani vile vile, sasa hapo kodi ya wananchi inapotea vipi, ndio maana kodi hiyo hiyo inatumika kutoa ruzuku ili kushamirisha shughuli za upinzani kutokana na umuhimu wake kwa taifa. Matumizi ya gari ni yale yaliyokusudiwa, hata wanaokutuma wanajua hilo, hapo umekurupuka tu nafikiri hamkushauriana kabla hujarusha huu uzi
 
Asipotembea na hilo gari la KUB,yanaweza kuja kumpata kama yale ya general Imran Kombe aliyemiminiwa risasi kwenye shangingi lake eti wakidhani jambazi na gari ni la wizi.

Sasa inaonyesha hamwezi mimina risasi kwa Mbowe kwasababumnaona plate number ya KUB ni kizuzizi.

Wauwaji wakubwa nyie!
 
HAMY-D inabidi upimwe akili sasa, kwani hujui kuwa mbowe kapewa gari gari hilo kama kiongozi wa upinzani na si kiongozi wa serikali, na shughuli anazofanya kwa kutumia gari hilo ni shughuli za upinzani vile vile, sasa hapo kodi ya wananchi inapotea vipi, ndio maana kodi hiyo hiyo inatumika kutoa ruzuku ili kushamirisha shughuli za upinzani kutokana na umuhimu wake kwa taifa. Matumizi ya gari ni yale yaliyokusudiwa, hata wanaokutuma wanajua hilo, hapo umekurupuka tu nafikiri hamkushauriana kabla hujarusha huu uzi

Teh teh teh, eti walio nituma!!!

Mkuu, mimi nadhani wewe ndie umekurupuka, hakuna kitu kama hicho ambacho unataka kuaminisha watu humu.

Suala la kusema serikali itoe gari kwa shughuli za chama (tena upinzani) ni wazo ambalo hata halifikiriki.

Tatizo lako wewe ni uelewa mdogo wa dhana ya kambi ya upinzani bungeni, kama ungesoma kanuni za bunge ungeweza kujua mipaka ya KUB.

Kambi ya upinzani haipo kwa ajili ya kufanya siasa za CHADEMA, wala hili wazo halijawahi kufikiriwa, ndio kwanza wewe umelileta hapa ulimwenguni.
 
Hamy- D,Foxy ,Simiyu yetu,Lukosi na wenzako nina swali moja.Je tukijumlisha akili zenu wote zinaweza kufikia za Mbowe?Maana naona mnachangiana na kupeana like kwenye vitu visivyo na mashiko.Mbowe na Dr.Peter si saizi yenu chezeni na wengine.
 
unatabia ya uchoyo na ninadhani unawivu ata ukimuona mtoto mdogo anakunywa uji unakuwaga na tamaa nao!!
Gari limeandikwa (kub) umemkutanalo kwenye kazi za chama makaliyo yanakuwasha na dhani ata ungemkuta nalo bank unge lalamika tu.! Jingine usipende kuruka mkojo na kukanyanga mavi!!
We ata hufai kuwa mlizi wa kulinda shaba la machungwa au maembe coz ukimuona mwizi akieba utamuacha na utamkamata mpita njia !!!!
 
Hamy- D,Foxy ,Simiyu yetu,Lukosi na wenzako nina swali moja.Je tukijumlisha akili zenu wote zinaweza kufikia za Mbowe?Maana naona mnachangiana na kupeana like kwenye vitu visivyo na mashiko.Mbowe na Dr.Peter si saizi yenu chezeni na wengine.

Teh teh teh, mkuu, unataka kufananisha mwanga wa jua na mwanga wa tochi?

Hivi wewe unaweza kunifananisha mimi na Mbowe?

Wenda ni kweli amenizidi pesa, tena kwa kiwango kikubwa (ingawa tunajua bila urithi wa baba yake angekuwa kapuku tu), ila kuhusu akili, uelewa, uchambuzi wa mambo na kufanya maamuzi yenye tija, Mbowe hakuna kitu.

Kama ungetumia kompyuta kuandika hayo mawazo yako ungeweza kuona saini yangu, ungepata picha nini namaanisha.
 
obama alishawahi kuwa na uzoefu wa urais wa taifa kubwa kama usa kabla hajawa rais,???? Ooohoo sorry labda alikuwa rais kwa yule aliyejifungua wewe ndio maana unaona kila awaye rais anauzoefu!!
 
HAMY-D,

Kama unao uchungu na rasilimali za nchi, ungeanza na Viongozi wa serikali ya CCM kwa UFISADI. Pia ungejiuliza, wakuu wa mikoa/wilaya hufuata nini katika ziara za Mangula, KInana, Nape, Mwigulu, Migiro, Meghji nk?

Kama Mbowe anafanya makosa, Serikali ya CCM inaogopa nini kumchukulia hatua? Shukurani kwa kuonyesha ufujaji wa Mbowe pamoja na ULEGELEGE wa Serikali

WE KWELI Fitinamwiko, nimekukubali!
 
Hivi ni lazima mimi ndio niseme ya Kikwete? wewe kama una ushahidi na hayo uliyo yasema na umeona kuna haja ya kuyawasilisha hapa jamvini, basi jenga hoja yako na uilete hapa.

You must be sick upstairs. Otherwise Mbowephobiasis is disturbing you to the maximum.
Give us a break dude!!!
 
Back
Top Bottom