CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,914
- 3,476
Ila atakuwa ashakaa huko miezi mitatu kama Zuma.Sabaya atashinda kesi zake zote
Ila atakuwa ashakaa huko miezi mitatu kama Zuma.Sabaya atashinda kesi zake zote
Una akili sana! Mbowe anajifanya hana tena shida na Sabaya baada ya kuona mbinu zake zimegonga Kwamba!Sabaya atashinda kesi zake zote
Rais asiwasikilize hawa...wanataka kuanza kumpelekeshaHuyu Mbowe anadhani nchi inaendeshwa Kama anavyokiendesha chama chake,rais ana Mambo mengi ,hawezi kuacha kazi za kuwatumikia wananchi ili akutane na DJ Mbowe,huyu bwana sijui washauri wake huwa wanamshauri nini ,au huko kwa bichwa lake Kuna maziwa mgando?
Katajwa basha wako Sabaya kigololi kimekushukaMbowe anampenda sana Sabaya
Unaona umeandika point mwenyewe.Huyu Mbowe anadhani nchi inaendeshwa Kama anavyokiendesha chama chake,rais ana Mambo mengi ,hawezi kuacha kazi za kuwatumikia wananchi ili akutane na DJ Mbowe,huyu bwana sijui washauri wake huwa wanamshauri nini ,au huko kwa bichwa lake Kuna maziwa mgando?
Yule Aliyekufumua marinda ndiye hana siri anakutangaza ila siyo kwa nia mbaya anakusifia unavyokata miunoHuo mchezo unaupenda, uzuri situmii wape wengine
Ushakua star wa hiyo michezo siwezi bishana naweYule Aliyekufumua marinda ndiye hana siri anakutangaza ila siyo kwa nia mbaya anakusifia unavyokata miuno
Wewe junya ukijilengesha kwangu nakuletea moto wa hatari mwenyewe utafurahiUshakua star wa hiyo michezo siwezi bishana nawe
Alikimbilia Dubai kipindi cha JPM, nadhani kipindi kile ndiyo ilibidi aoneshe huo uanaume wakeTunahitaji wanaume watatu tu wengine kama Mbowe nchini.
Na kweli ameshindaSabaya atashinda kesi zake zote
Muulize tena hilo swaliWewe ndie hakimu unaesikiliza kesi yake?