Kauli thabiti ya kamanda Mbowe.Mbowe amesema kitendo cha Rais Samia kukataa kukutana na viongozi wa CHADEMA kwa miezi minne sasa ni cha kinyama na hawawezi kuvumilia hivyo kuanzia sasa hatampigia magoti tena kumuomba wakutane naye bali watakutana barabarani.
Kinuju hiyo kauli ndiyo ilimuingiza choo cha kike Freeman Mbowe. Yaani alichamba mpaka akakamata kinyesi chakeMwenyekiti wa Chadema taifa Freeman Mbowe amesema serikali ya Rais Samia imeamua kumtoa kafara aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na kuwaacha wahalifu wengine ikiwemo waliompiga risasi Lissu wakidunda serikalini bila kukamatwa.
Mbowe amesema kitendo cha Rais Samia kukataa kukutana na viongozi wa CHADEMA kwa miezi minne sasa ni cha kinyama na hawawezi kuvumilia hivyo kuanzia sasa hatampigia magoti tena kumuomba wakutane naye bali watakutana barabarani.
Waliomshihaki na kumdhalilisha Mh.Mbowe wanatamani wajifiche nyuso zao,mwamba yupo nje na moto Wa Katiba Mpya unaenda kuwaka zaidi.hahah doh kweli tuweke akiba ya maneno, teknolojia zitatuumbua sana
SWALA LA KATIBA ALILIACHA PALE IKULU ALIVYOKUBALI TU KWENDA BAADA YA KUTOKA JELAMoto wa KATIBA MPYAA NDO UNAZINDULIWA
Bi Mkubwa ajipange.....
Unatoa upupu JF wakati mwenzio Sabaya ananyea mtondoo pale Jela Karanga,kikubwa hata Sabaya akitoka Jela leo hii hakika cha moto amekipata, ule ubabe wake wote HAUTAKUWEPO tena, naamini hata akiona Kuku njiani atakuwa anapiga magoti na kutoa SHIKAMOO kwa Kuku [emoji1787]Lakini bado Dpp Kweka aliyeteuliwa na Samia anaendelea kumtesa Sabaya
Sabaya hatoki jela leo. Kuna kesi zingune zinamsubiri Moshi. Pili DPP ameahidi kukata rufaa kwenye ile ya kwanza inayosemekana alishinda kwa teknikalitiesUnatoa upupu JF wakati mwenzio Sabaya ananyea mtondoo pale Jela Karanga,kikubwa hata Sabaya akitoka Jela leo hii hakika cha moto amekipata, ule ubabe wake wote HAUTAKUWEPO tena, naamini hata akiona Kuku njiani atakuwa anapiga magoti na kutoa SHIKAMOO kwa Kuku [emoji1787]
Sabaya ameshinda kesi zote bila mbeleko ya Dpp kama gaidiUnatoa upupu JF wakati mwenzio Sabaya ananyea mtondoo pale Jela Karanga,kikubwa hata Sabaya akitoka Jela leo hii hakika cha moto amekipata, ule ubabe wake wote HAUTAKUWEPO tena, naamini hata akiona Kuku njiani atakuwa anapiga magoti na kutoa SHIKAMOO kwa Kuku [emoji1787]
Huyu Mbowe anadhani nchi inaendeshwa Kama anavyokiendesha chama chake, rais ana Mambo mengi, hawezi kuacha kazi za kuwatumikia wananchi ili akutane na DJ Mbowe, huyu bwana sijui washauri wake huwa wanamshauri nini ,au huko kwa bichwa lake Kuna maziwa mgando?