Mbowe: Nipo tayari kuondoka CHADEMA...

Mbowe: Nipo tayari kuondoka CHADEMA...

CUF Ngangari

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
273
Reaction score
51
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amesema nipo tayari kuondoka CHADEMA ikiwa wanainchi hawatapata haki zao.

Source: Gazeti la Majira.
 
Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema amesema yupo teari kuondoka chadema ikiwa ataona mambo ndani ya chama chake yanaenda ndivo sivo. Chanzo gezeti la majira
 
Kwani ajabu akisema hivyo, maneno kama hayo hayawezi tamkwa na wenyeviti wa ccm na CUF kwa sababu hawajiamini na wakitamka tu ndo ntolee kwa sababu wamechokwa
 
Kama asipoondoka sasa kuna wakati tu utafika na ataondoka...so I don't see mashiko yoyote kwenye hii habari zaidi ya hilo gazeti kutaka kuuza tu kwa vichwa vya habari vyepesiiii
 
Kutoka source tata!

Haha..mkuu, nzuri sana hii..mara nyingi nashangaa sana kuona humu jamvini...wale Pro-CHADEMA kuanzisha sana thread abt CCM, na wale CCM pros' kuanzisha thread kuhusu CHADEMA!!How abt they switch places!?
Anyway kila mtu anatoa maoni atakavyo bwana!
 
kuondoka chadema aende wapi?? CCM??

Kauli tata
 
JK kisha maliza kazi huyu anaelekea CCM Muda si mrefu, bora angesema kama wanainchi hawatapata haki zao kupitia chadema chini ya uongozi wangu nitaachia ngazi, hapo tungemuelewa lakini kwa kauli hiyo bila shaka anaelekea CCM.
 
Hiyo thread haina maelezo ya kutosha!!!!If source unayo,soma habar nzma sumalize then utuletee humu co heading pekee..Acha kutoa taarifa as unasalima mtu.
 
JK kisha maliza kazi huyu anaelekea CCM Muda si mrefu, bora angesema kama wanainchi hawatapata haki zao kupitia chadema chini ya uongozi wangu nitaachia ngazi, hapo tungemuelewa lakini kwa kauli hiyo bila shaka anaelekea CCM.
Ok msubirieni! Anakuja,kesheni mkiomba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom