Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,054
- 288,517
- Thread starter
-
- #21
Hongereni chadema, komaeni na hao makamanda wa polis wahuni na vibaraka wa ccm!
Chadema ni wauwaji, wanataka kumwaga damu kalenga, kama walivyofanya arushaHongereni chadema, komaeni na hao makamanda wa polis wahuni na vibaraka wa ccm!
mbowe hana faida yoyote kwa taifa. uwepo wake haulisaidii taifa, anataka tu umaarufu usiokuwa na maana. na wewe mtoa mada ni taahira
Haki ya hawara yake joyce mukya?Safi sana Kamanda Mbowe, heri kufia angani ukitafuta haki kuliko kufia ardhini kwa uoga.
Kufa tu kwani una faida gani!!!
Chadema ni wauwaji, wanataka kumwaga damu kalenga, kama walivyofanya arusha
Chadema ni wauwaji, wanataka kumwaga damu kalenga, kama walivyofanya arusha
Inasaidia nini katika kupunguza umasikini
Hayo mafuta yanayotumika kuruka pamoja fedha ya kuikodi hiyo helkopta yangeweza kununua madawa katika hospitali na vituo vyote vya afya kalenga nzima na hata mkoa mzima wa iringa
Ni tz daima sio nipashe acha uongo. Nipashe haiwezi kuandika huo udaku
Haki ya hawara yake joyce mukya?
Huyo ni wa kuchapwa viboko tu
cheap popularity, this guy failed in school, failed in business and failed in politics! pathetic!
na safari zisizo na tija za d.haifu zingennua madawa tani ngapi?kamanda wa polisi anataka kuwasaidia magamba wenzake kuiba kura,chopa itaruka tu nyinyi wezi wa kura...Hayo mafuta yanayotumika kuruka pamoja fedha ya kuikodi hiyo helkopta yangeweza kununua madawa katika hospitali na vituo vyote vya afya kalenga nzima na hata mkoa mzima wa iringa