Mbowe, ni wakati wa fikra mbadala

Mbowe, ni wakati wa fikra mbadala

bnhai

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2009
Posts
2,846
Reaction score
2,402
Mh Mbowe amekuwa kiongozi wa Chadema kwa muda mrefu sasa. Amefanya juhudi zake katika mapinduzi ya kisiasa na kuufikisha upinzani hapa ulipo. Lakini lengo kuu hasa la upinzani ni kushika hatamu. Kwa bahati mbaya fursa ya mwaka huu baada ya skendo nyingi za rushwa na utendaji wa serikali, madhaifu hayo hayakusaidia chama kuongoza nchi. Ni wakati umefika sasa kukaa pembeni na kubaki kuwa mwanachama au hata mshauri ili;

1. Kuifanya Chadema iwe ya kidemokrasia zaidi na si ya watu wachache, walewale siku zote.

2. Kuruhusu mawazo mapya ya kutoka kwa watu wengine

3. Kukifanya chama kiwe na sura ya Kitaifa zaidi.

4. Kuchukua maamuzi sahihi kwamba uwezo wako wa kukiongoza chama umefikia hapo.
 
..mbowe ataendelea kubakia m/kitiwa Cdm mpaka wana chadema watakavyoamua vinginevyo, na sio kuamuliwa/kushauriwa na ccm, never.
 
Hebu tule takwimu uhalalishe hoja yako, 2010 Chadema walikuwa na viti vingapi vya ubunge na sasa vingapi, walikuwa na halmashauri ngapi na sasa ni ngapi, walipata %,ngapi za urais na sasa ni ngapi?
 
Hats off mbowe. Zanzibar will soon be free. Aluta continua tanganyika, viva ukawa.
 
..mbowe ataendelea kubakia m/kitiwa Cdm mpaka wana chadema watakavyoamua vinginevyo, na sio kuamuliwa/kushauriwa na ccm, never.

Naunga mkono hoja kwa 100%
 
Hebu tule takwimu uhalalishe hoja yako, 2010 Chadema walikuwa na viti vingapi vya ubunge na sasa vingapi, walikuwa na halmashauri ngapi na sasa ni ngapi, walipata %,ngapi za urais na sasa ni ngapi?

Hivi ulikuwa hujui kama kuna watu ni wataalamu wa kukurupuka!
 
Mbowe ni Mwenyekiti wa Chadema na ataendelea kuwa Mwenyekiti wa Chadema mpaka Wanachadema watakapoamua full stop ndorobo ww
 
KAMANDA SUBIRI KIDOGO, HAWA JAMAA SASA HIVI WANA HASIRA BALAA! Ila hiyo namba 3 nimeipenda.
 
Itabidi Mbowe akae na baba mkwe waone nani achukue jahazi. It is a family Party.
 
Its amazing people of your kind voted. I think voting should be restricted to a few people who can think clearly.
 
eim
mie sipingani na wewe tofauti na watu wanavyo mhukumu mbowe,chama kama chama kilikuwa kinapita katika kipindi kigumu saana kwa muda mrefu sana
hata ile dhana ya kuwa mbowe anang'ang'ania uenyekiti wa chama si ya kweli
dr. slaa during his era aliombwa awe mwenyekiti wa chama lkn aliomba kukataa nafasi hiyo,ikumbukwe uwenyekiti wa chama sio lelemama kuna vita nyingi kutoka ndani ya chama na kwa maadui wenu. Sasa basi nani ataweza kuhimili kusimamia haya yoote
kwani kwa Tanzania sasa tuna kizazi ambacho DEALS kimehalalisha kuwa halal
yaani mtu akiibia kampuni au office yeye ni mjanja sasa nani wa kukaa kwenye kiti na kusimama imara{sio kama hawapo wapo nasikia kuna mbunge mteule amekataa 200milions ili aachie ubunge dar}mungu ambariki sana tena sana
kwa hiyo tuna safari ndefu sana wote wapenda mabadiliko. cha msingi ni kudhirikiana wote ifike siku nchi yetu INAKOMBOLEWA
 
asanteeeeeeeeeeeeeeeeeee.....na bado wanachakachua mnoooo had sasa ivi ,kiukweli chadema is on fleeeeeeeeeeeek damn am loving it
 
Kuna watu wanataka kuvuliwa uanachama hapa, au mnataka kuitwa wasaliti, mbowe aondoke thubutuu
 
Mbowe dalali wa siasa amevuna pesa za fisadi na sasa cdm unakufa rasimi, lengo lake ulikuwa pesa na si vinginevyo,
 
Back
Top Bottom