Mbowe, ni wakati wa fikra mbadala

Mbowe, ni wakati wa fikra mbadala

mh mbowe amekuwa kiongozi wa chadema kwa muda mrefu sasa. Amefanya juhudi zake katika mapinduzi ya kisiasa na kuufikisha upinzani hapa ulipo. Lakini lengo kuu hasa la upinzani ni kushika hatamu. Kwa bahati mbaya fursa ya mwaka huu baada ya skendo nyingi za rushwa na utendaji wa serikali, madhaifu hayo hayakusaidia chama kuongoza nchi. Ni wakati umefika sasa kukaa pembeni na kubaki kuwa mwanachama au hata mshauri ili;

1. Kuifanya chadema iwe ya kidemokrasia zaidi na si ya watu wachache, walewale siku zote.

2. Kuruhusu mawazo mapya ya kutoka kwa watu wengine

3. Kukifanya chama kiwe na sura ya kitaifa zaidi.

4. Kuchukua maamuzi sahihi kwamba uwezo wako wa kukiongoza chama umefikia hapo.

mbowe na kikwete nani zaidi kama wenyeviti wa vyama?nakuhakikishia kama siyo kutumia dola ccm itakufa ndani ya mwaka mmoja. Pili pendekezeni mtu mbadala mnayemuona anafaa tuone kweli kama anasifa
 
mawazo mbadala mnayataka ninyi wa CCM. Mbowe ni mwenyekiti wetu halali hadi muda wa kipindi chake kitakapokwisha

Hawa vijana WA sisiem hawajielew kabisa hamna kamanda km MBOWE Jamaa mstaarabu sana ana HULKA ya uongozi atakuwa Mwenykt wetu hadi pale ambapo atapatikana mwingine
 
mbowe na kikwete nani zaidi kama wenyeviti wa vyama?nakuhakikishia kama siyo kutumia dola ccm itakufa ndani ya mwaka mmoja. Pili pendekezeni mtu mbadala mnayemuona anafaa tuone kweli kama anasifa

Hii ni dhana ya kidikteta kuamini kuwa katika watu zaidi ya mil 50 kuna mtu ambaye habadilishiki. Ni dhana iliyopitwa na wakati. Alikuwepo Mwl Nyerere, Watanzania walilia saana alipotangaza kung'atuka. Sasa ije kuwa Mbowe. Lengo la chama amelifikisha mpaka hapo, wengine wapewe nafasi.
 
Mh Mbowe amekuwa kiongozi wa Chadema kwa muda mrefu sasa. Amefanya juhudi zake katika mapinduzi ya kisiasa na kuufikisha upinzani hapa ulipo. Lakini lengo kuu hasa la upinzani ni kushika hatamu. Kwa bahati mbaya fursa ya mwaka huu baada ya skendo nyingi za rushwa na utendaji wa serikali, madhaifu hayo hayakusaidia chama kuongoza nchi. Ni wakati umefika sasa kukaa pembeni na kubaki kuwa mwanachama au hata mshauri ili;

1. Kuifanya Chadema iwe ya kidemokrasia zaidi na si ya watu wachache, walewale siku zote.

2. Kuruhusu mawazo mapya ya kutoka kwa watu wengine

3. Kukifanya chama kiwe na sura ya Kitaifa zaidi.

4. Kuchukua maamuzi sahihi kwamba uwezo wako wa kukiongoza chama umefikia hapo.

kwani wanachama wameamua ivyo? au ww ndo umependa
 
kwani wanachama wameamua ivyo? au ww ndo umependa
Wanachama wanauwezo wa kuamua lolote juu ya CHADEMA? Wanachama waliamua Lowassa agombee? Tuwe wakweli, mfumo wa kidemokrasia halisi na ya uwazi ndio utakao ing'oa CCM.
 
DJ toka lini akaongoza chama hadi kipate nafasi ya kuongoza Dola? Thubutuuu!
 
Kakipengele kamoja tu ktk ibara ya 41 ya katiba kakihadilishwa hata chauma inashinda
 
Tena Mbowe akiendelea kuwa na akili kama aliyoionyesha ndani ya miaka yake kumi ya utawala atakapo karibia kumaliza awamu hii wengine tutapendekeza tufanye kama rwanda walivyofanya kwa Kagame
 
Mh Mbowe amekuwa kiongozi wa Chadema kwa muda mrefu sasa. Amefanya juhudi zake katika mapinduzi ya kisiasa na kuufikisha upinzani hapa ulipo. Lakini lengo kuu hasa la upinzani ni kushika hatamu. Kwa bahati mbaya fursa ya mwaka huu baada ya skendo nyingi za rushwa na utendaji wa serikali, madhaifu hayo hayakusaidia chama kuongoza nchi. Ni wakati umefika sasa kukaa pembeni na kubaki kuwa mwanachama au hata mshauri ili;

1. Kuifanya Chadema iwe ya kidemokrasia zaidi na si ya watu wachache, walewale siku zote.

2. Kuruhusu mawazo mapya ya kutoka kwa watu wengine

3. Kukifanya chama kiwe na sura ya Kitaifa zaidi.

4. Kuchukua maamuzi sahihi kwamba uwezo wako wa kukiongoza chama umefikia hapo.

Kwani sasa hivi ni kikanda zaidi?
 
Kwani Mbowe akiwa mwenyekiti CDM haiwi na demokrasia zaidi?
Kwani akiwa mwenyekiti wewe unakatazwa kuleta mawazo mapya yakafanyiwa kazi. Mpaka aondoke?
Kwani sasa hivi CDM haina sura ya kitaifa, mpaka aondoke.
Wewe huna lolote bali wivu tu. Mimi nataka Mbowe aendelee kuongoza. Mawazo yako nayaona ni pumba tupu tena huenda umetumwa na chichiemu kusema uliyosema.
 
nakubaliana na wewe lakini kuna angalizo hebu fikiria mnamwamini mtu kama Zito awe chairman. Mtakua mmeuza chama kabsa kwel tunahitaj kiongoz mpya lakini sio kwa cost ya kukiua chama, Nyerere aliongoza miaka 23 ili kuijengea nchi misingi imara angeongoza mitano tu akaondoka nahisi tungekua hatuioni tz yenye umoja kama hii
 
Kwani Mbowe akiwa mwenyekiti CDM haiwi na demokrasia zaidi?
Kwani akiwa mwenyekiti wewe unakatazwa kuleta mawazo mapya yakafanyiwa kazi. Mpaka aondoke?
Kwani sasa hivi CDM haina sura ya kitaifa, mpaka aondoke.
Wewe huna lolote bali wivu tu. Mimi nataka Mbowe aendelee kuongoza. Mawazo yako nayaona ni pumba tupu tena huenda umetumwa na chichiemu kusema uliyosema.
Mbowe amekuwa Mwenyekiti muda mrefu na alituaminisha kwa kuchukua mamluki wa CCM nchi ingeenda upinzani. Hili halikutokea. Misingi yote ambayo CHADEMA ilikuwa inasimamia ikavurugwa. Watanzania wanakerwa na ufisadi. Neno hili halikutumika katika kampeni kwa sababu wao waligeuka watuhumiwa na wakatumia muda mwingi kujieleza na kumsafisha mgombea badala ya kukampeni.
Mawazo mapya hayana nafasi ndani ya mfumo wa mtu mmoja kuhodhi madaraka kwa muda mrefu. Na ni ukweli usiofichika, ukiangalia uwakilishi wa Wabunge ni wazi kuna wasiwasi wamuonekana wa Utaifa katika Chama. Yeye amefanya kazi yake, ni vyema mawazo mapya na mbadala yakapewa nafasi.
 
Mawazo mapya hayakatazwi na uongozi wa Mbowe, toa hayo mawazo mapya yafanyiwe kazi. Sio lazima mawazo hayo mapya yasubiri mpaka atakapotoka kwa njia ya uchaguzi.
 
Mm namin Mbowe ni kiongoz imara sana...ccm wakamshaur huyo wao ambaye hachaguliwi ...ccm hawana demokrasi ni wanafiki halafu wanakuja kutushauri upumbavu
 
CCM ...ww tangu lini ukaitakia mema chadema ...Mbowe endelea kupambana naona dawa inawaingia ccm
 
Mbowe dalali wa siasa amevuna pesa za fisadi na sasa cdm unakufa rasimi, lengo lake ulikuwa pesa na si vinginevyo,

Hivi unajua maana ya kufa au unajifariji tu? Mbowe ni mwenyekiti kikatiba na uongozi wake utadumu hadi 2019 kikatiba
 
Je mawazo mapya ni Mbowe kutoka katika uongozi ndio wazo jipya. Ni nini kilichokataliwa akiwepo Mbowe? Kama ni ushindi labda wewe tu ndie hujui uchakachuaji wa matokeo. Huwezi ukasema kashindwa wakati uchakachuaji uko dhahiri, ubadilishaji wa matokeo kupitia tume unajulikana. Unashangaza unapotupa lawama kwa asiyehusika wakati mafanikio yameonekana kwa kiasi kikubwa. Kura ngapi feki zilikamatwa na ngapi hazikukamatwa. Tume inatoa matokeo leo kesho inabadilisha matokeo. Labda umetumwa kutoa ushauri ili kusudi chama kife? Uchaguzi wa viongozi kichama bado, subiri nawe utagombea.
 
Back
Top Bottom