Mbowe ni sept 14 au Dec 9?

Mbowe ni sept 14 au Dec 9?

Unahoji elimu ya MTU tuliemshuhudia akipewa hiyo elimu na wakati huo huo katiba haina haja ya hiyo elimu ili MTU huyo awe mahali alipo, upuuzi tu badala ya kuhoji Sera na kuja na sera mbadala unahangaika na personality ya MTU ikusaidie nini ilhali deep inside unajua nobody is perfect lakini sheria na kanuni za ulimwengu ndio zinatuguide at least kuishi kwa kuheshimiana...
Halafu kifo au kupotea kwa watu wengine hakuna uhakika exactly nini hasa kimejiri bali hisia za kuungaunga ndizo zinatupeleka kunyoosheana vidole...
Otherwise hayupo anaestahili kifo au mateso kwa namna isiyo haki.
Kuna mtu mmetudanganya ni Dr akijitokeza wa kuhoji mnamuua.
 
Wafuasi wake watuambie.
IMG_20190914_101442.jpeg
IMG_20190914_101426.jpeg
 
Profesa yupi unamuongelea maana hata wewe ni Profesa kwa mkeo na watoto wako

Au profesa kwa akili zako unajua ni walimu wa chuo kikuu kwenye rank ya mwisho

Wajua Obama ana PhD lakini hajiiti Dakatari wa falsafa

Wewe Etwege uliyesoma jalalani unajiita Profesa Shameless Africans
Dj aliyepata ziro lakini anaongoza maprofesa
 
Alizaliwa tarehe 14 September .Jana tarehe 13 September kikatiba ya chadema ndio Ilikuwa siku yake ya Mwisho Kama mwenyekiti wa chadema taifa kwa mujibu wa katiba ya chadema Ina maana Leo hi tarehe 14 September Ni siku yake ya kuzaliwa na siku yake ya kwanza ya kutawala chadema kidikteta kimabavu Bila ridhaa ya wanachama wa Chadema.Hivyo Leo anasherehekea pia siku ya kuwa mwenyekiti wa mabavu wa Chadema.Happy birthday dictator mbowe on your first day celebration of your dictatorshipi in the Chadema Republic
 
Leo ni birthday ya Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Aikael Mbowe.

Imezoeleka na kuambiwa Mbowe alizalliwa Moshi Machame 09.12.1961
Leo naona watu wanamtakia heri ya kuzaliwa.

Tuondoleeni huu utata
Atakuwa amebadili gia angani.
 
Back
Top Bottom