Mbowe ni kibaraka wa CCM ndani ya CHADEMA?

ni kati ya hoja zinazojadiliwa hapa kigoma mjini wengi wana muona mbowe kama kibaraka wa CCM, kwahiyo wanaona ukombozi kwao kama ndoto kwa kuwa kinaongozwa na mbowe ambapo wengi wanamuona kama ni kibaraka. Hoja wanazozitoa kuwa eti baba yake Mbowe alikuwa ni rafiki mkubwa wa Nyerere na hata katika wakati wa uhujumu uchumi Nyerere hakumgusa kabisa mzee Mbowe, na hata jina la Freeman lilitolewa na Nyerere ambaye ndiye baba yake wa ubatizo wa Freeman Mbowe.

Je, huyu ndiye mtu anayeweza kuitoa CCM? Wanahoji wakazi hao kigoma ujiji.

Najiandaa leo kuhudhuria mkutano wa CCM hapa Mwanga community centre nikawasikilize je? wana jipya? Tusubiri.
Ok sawa kama ni hivyo nyie wakazi wa kigoma ninani mnaona anawafaa kuitoa CCM?Mawazo yenu tunayataka...
 
du kumbe jumapili,we mtoto njoo peleka viatu hapo kwa shoe shine.
 
mkigoma unatundu nyuma ya kichwa chako ndo maana kila unalowaza unakorupse pole sana maana kafu nao wanamatundu katika siasa na ndo maana wanavuja vibaya.
 
ni kati ya hoja zinazojadiliwa hapa kigoma mjini wengi wana muona mbowe kama kibaraka wa CCM, kwahiyo wanaona ukombozi kwao kama ndoto kwa kuwa kinaongozwa na mbowe ambapo wengi wanamuona kama ni kibaraka. Hoja wanazozitoa kuwa eti baba yake Mbowe alikuwa ni rafiki mkubwa wa Nyerere na hata katika wakati wa uhujumu uchumi Nyerere hakumgusa kabisa mzee Mbowe, na hata jina la Freeman lilitolewa na Nyerere ambaye ndiye baba yake wa ubatizo wa Freeman Mbowe.

Je, huyu ndiye mtu anayeweza kuitoa CCM? Wanahoji wakazi hao kigoma ujiji.

Najiandaa leo kuhudhuria mkutano wa CCM hapa Mwanga community centre nikawasikilize je? wana jipya? Tusubiri.

unatoa ushuzi kichwani mwako alafu unasingizia eti watu wa wnajadili,

Muogope Mungu.
 
ukomboz utaletwa na umma..mbowe ni moja wapo ya umma...hategemew yy, hata kdogo mfano akifa?..usikuruke bhana, viela vya propaganda vckupe jeur ya kupoteza u2
 
kamanda wa anga hawezi kuwa kibaraka wa walaji jipange upya mkuu.
 
ni kati ya hoja zinazojadiliwa hapa kigoma mjini wengi wana muona mbowe kama kibaraka wa CCM, kwahiyo wanaona ukombozi kwao kama ndoto kwa kuwa kinaongozwa na mbowe ambapo wengi wanamuona kama ni kibaraka. Hoja wanazozitoa kuwa eti baba yake Mbowe alikuwa ni rafiki mkubwa wa Nyerere na hata katika wakati wa uhujumu uchumi Nyerere hakumgusa kabisa mzee Mbowe, na hata jina la Freeman lilitolewa na Nyerere ambaye ndiye baba yake wa ubatizo wa Freeman Mbowe.

Je, huyu ndiye mtu anayeweza kuitoa CCM? Wanahoji wakazi hao kigoma ujiji.

Najiandaa leo kuhudhuria mkutano wa CCM hapa Mwanga community centre nikawasikilize je? wana jipya? Tusubiri.
Vipi Kigoma imeshabadilika na kuwa kama dubai?
 
HOJA DHAIFU Kaka,,,hata hayati Jomo Kenyatta alikuwa baba wa ubatizo wa raila odinga , lakini hiyo haikumzuia
raila odinga kuingia upinzani ulioking'oa madarakani chama cha KANU.
 
JK ndo anaonekana ni kibaraka wa CDM maana kila move anayofanya inakisogeza CHADEMA ikulu...

Wana CCM shitukeni...
 
Mpuuzi mno karikatuur ubongo wako endelea kuzunguka Kigoma huko
 
​kaongee na nape upuuzi huo
ni kati ya hoja zinazojadiliwa hapa kigoma mjini wengi wana muona mbowe kama kibaraka wa ccm, kwahiyo wanaona ukombozi kwao kama ndoto kwa kuwa kinaongozwa na mbowe ambapo wengi wanamuona kama ni kibaraka. Hoja wanazozitoa kuwa eti baba yake mbowe alikuwa ni rafiki mkubwa wa nyerere na hata katika wakati wa uhujumu uchumi nyerere hakumgusa kabisa mzee mbowe, na hata jina la freeman lilitolewa na nyerere ambaye ndiye baba yake wa ubatizo wa freeman mbowe.

Je, huyu ndiye mtu anayeweza kuitoa ccm? Wanahoji wakazi hao kigoma ujiji.

Najiandaa leo kuhudhuria mkutano wa ccm hapa mwanga community centre nikawasikilize je? Wana jipya? Tusubiri.
 
HOJA DHAIFU Kaka,,,hata hayati Jomo Kenyatta alikuwa baba wa ubatizo wa raila odinga , lakini hiyo haikumzuia
raila odinga kuingia upinzani ulioking'oa madarakani chama cha KANU.

hypolite KANAMBE a.k .a Joseph Kabila vs Laurent Kabila

*****whats happen******
watoto wangapi wamewaua au wamewatendea ndivyo sivyo wazazi au walezi wao
 
ni kati ya hoja zinazojadiliwa hapa kigoma mjini wengi wana muona mbowe kama kibaraka wa CCM, kwahiyo wanaona ukombozi kwao kama ndoto kwa kuwa kinaongozwa na mbowe ambapo wengi wanamuona kama ni kibaraka. Hoja wanazozitoa kuwa eti baba yake Mbowe alikuwa ni rafiki mkubwa wa Nyerere na hata katika wakati wa uhujumu uchumi Nyerere hakumgusa kabisa mzee Mbowe, na hata jina la Freeman lilitolewa na Nyerere ambaye ndiye baba yake wa ubatizo wa Freeman Mbowe.

Je, huyu ndiye mtu anayeweza kuitoa CCM? Wanahoji wakazi hao kigoma ujiji.

Najiandaa leo kuhudhuria mkutano wa CCM hapa Mwanga community centre nikawasikilize je? wana jipya? Tusubiri.

yani umevembiwa na migebuka then unaanza kubwabwaja humu.

Kweli Zitto una kazi mwaka huu.
 
Mkuu sio wote watakaompenda Mhe. Freeman Mbowe. Hoja nyingi zinakuwa zimeongelewa na Serikali kivuli kwa kutumia Mawaziri wake.
 
ni kati ya hoja zinazojadiliwa hapa kigoma mjini wengi wana muona mbowe kama kibaraka wa CCM, kwahiyo wanaona ukombozi kwao kama ndoto kwa kuwa kinaongozwa na mbowe ambapo wengi wanamuona kama ni kibaraka. Hoja wanazozitoa kuwa eti baba yake Mbowe alikuwa ni rafiki mkubwa wa Nyerere na hata katika wakati wa uhujumu uchumi Nyerere hakumgusa kabisa mzee Mbowe, na hata jina la Freeman lilitolewa na Nyerere ambaye ndiye baba yake wa ubatizo wa Freeman Mbowe.

Je, huyu ndiye mtu anayeweza kuitoa CCM? Wanahoji wakazi hao kigoma ujiji.

Najiandaa leo kuhudhuria mkutano wa CCM hapa Mwanga community centre nikawasikilize je? wana jipya? Tusubiri.

Sasa kama wanamwona MBOWE hivyo na vipi ZITTO KABWE wanamuonaje?
 
Huhitaji kufikiri sana kujua anae sema Mh, Mbowe ni kibaraka wa ccm, anahitaji msaada huyo wa kufahamu na kuchambua mambo, Ningeweza kumwelewa kama angesema JK ni Kibaraka wa CDM na kwamba kazi yake ni kuhakikisha anafanya jitihada za kutosha kuimaliza ccm na kuikabidhi IKULU 2015
 
Uongozi ni kurithishana kwa maana ya kijifunza mazuri aliyofanya aliyekutangulia na kuyaboresha pamoja na kijifunza kwa waliofanikiwa.
Hivyo basi, hakuna kitu kipya katika uongozi bali mbinu za uongozi ambazo hubadilika kulingana na hali.
Je, Mleta mada unamchukuliaje Nyerere katika uongozi wa Taifa hili?
Je, kuna chochote ambacho Mbowe anaweza kujivunia kwa kuwa na Baba wa Ubatizo (Nyerere)?
Kama Mbowe ni kibaraka wa CCM kwa sababu amekulia Ikulu na kufundwa na watu wa CCM na hivyo hana sifa za Kuikomboa Tanzania. Je mwenye sifa za kuikomboa Tanzania atakuwa amelelewa na kukulia kwenye mikono ya NANI?
Sasahivi wanaotaka kuiongoza Nchi hii, watakuwa ni kutoka katika mikono ya CCM, CUF, CHADEMA au NCCR.
 
Sipendi siasa kabisa kwasababu nilishindwa kupata jibu la kwanini ka-nchi kadogo haka alafu eti maskini lakini kana utitiri wa vyama zaidi ya 18,alafu eti viongozi wa vyama hivi kama nia yao ni moja kwanini wasiungane kuwa chama kimoja kikubwa?.kiukweli kuna wakati nahisi haya ni maigizo/drama ama ule mchezo fulani ambao huchezwa...............a.k.a lotto games.so hakuna upinzani tz.na kama upo basi ni bahati mbaya ama ni upinzani jina tu,kiukweli hawa wote ni ccm damu.true maltipatism always is one part with another part & give +ve change faster than expectation without bloodsheed/violence & demonstation.
 
Back
Top Bottom