Jamani ya nini kuongopea watu hivi, hiyo kauli hajasema Mbowe aslani. aliyesema hayo ni mbunge wa tarime tena kasema watatumia mapanga, Lukuvi eti akam-bembeleza afute hiyo kauli, naibu akamsemea Nyangwine kwamba hiyo ndio lugha ya kawaida tarime, kwa ujumla Magamba wamejichanganya sana kwenye huu mjadala ni kama "The River Between"
Nawasilisha!
Mtu mzima kuongopa hata kama una chuki na Mbowe haifai na unapoteza maana ya mjadala si vyema na unaweza kukaa kimya kama umeishiwa la kusema badala ya kuudhi sisi kenge wewe .