hawa wabunge wa ccm wana matatizo, muongeaji Mhe Gaundensi-mbunge kutoka Mbinga aliyefuata kuchangia baada ya Mbowe, badala ya kuchangia mstakabali mzima juu ya nishati na madini; yeye mojakwamoja kaanza kushambulia hoja za Mbowe na kuzitolea majibu mepesi; sielewi nafasi yake hiko wapi ni waziri mbadala wa nishati na madini?
Amesema haungi mkono hoja, uzulumwaji wa fidia, umaskini maeneo yalipo migodi ya dhahabu ni sababu mojawaposasa anachangia Lembeli!ngoja nisikilize!anasema katumiwa ujumbe wa sms na mpiga kura wake kuwa asiunge mkono hoja!
Kura ulipiga?Hakika bora mtu akutukane kwa maneno, kuliko kwa matendo.hivi kiongoz wa upinzani anatumia lugha ya matusi kwa manufaa ya nani? sisi wapiga kura tunamuelewa?
Atakuwa waziri wa nishati na madini wa viti maalumu labda!hawa wabunge wa ccm wana matatizo, muongeaji Mhe Gaundensi-mbunge kutoka Mbinga aliyefuata kuchangia baada ya Mbowe, badala ya kuchangia mstakabali mzima juu ya nishati na madini; yeye mojakwamoja kaanza kushambulia hoja za Mbowe na kuzitolea majibu mepesi; sielewi nafasi yake hiko wapi ni waziri mbadala wa nishati na madini?