Mbowe na Zitto...

Mbowe na Zitto...

jmushi1

Platinum Member
Joined
Nov 2, 2007
Posts
26,375
Reaction score
25,453
Mnasemaji hapa wadau?
attachment.php
 
Jamaa anaonekana alikua noma sana kwa chabo,anazuga kama anatazama muda alafu anakong'otea
 
Genuinely expression ya Zitto sio mbaya kivile, sura yake ndio ilivo. Ila one thing I can say ni kua Kamuangalia Mbowe as If hana Imani na kile Mbowe anachokifanya.... AMA Anaona Mbowe hakujipanga (Maana ni dhahiri anakagua hasa kikaratasi anacho kihitaji); hivo kutoa image mbaya kwa watazamaji...
 
Wote 4 wana karatasi nadhani zina nondo zao, mwenyekiti hapo ameletewa nondo zaidi dk za mwisho mwisho inabidi azipigilie pia. Zito hapo amearibu picha, pekee ndo Haonyeshi concentration na focus na seriousness badala yake anadokoa ujumbe uliofika kwa m/kiti nadhani mlio karibu nae mshaurini kuwa anapokuwa mbele ya umma ajizuie na distraction na awe focused
 
Narudia tena na tena kwa anayemfahamu zitto kiukaribu atakubaliana na mimi kuwa zitto ndivyo alivyo awe na huzuni au furaha facial expression ndio hiyo na ndivyo alivyoumbwa msipende kumuhukumu, msilaumu kazi muumbaji.
 
inaonekana MBOWE anafanya maamuzi yakwake bila kushirikisha wenzie sasa zitto anamwangalia tu akijua fika analolipendekeza halitasaidia ila litabomoa anashindwa kumwambia ukweli wachaga watamshambulia kua anataka uenyekiti wa chadema mbowe ana katabia ka jeuri na kufanya maamuzi bila kuwashirikisha wenzie esp ZITTO ,ref uteuzi wa DK SLAA
 
Back
Top Bottom