Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,302
- 7,323
Ni kweli mkuu wewe ndiye unajua kuchambua hoja za slaa na Mbowe naona siku hizi. Hiyo degree ipokazi ya molemo ni kutibua tibua yaani yeye hanaga hoja hata siku moja...ataishia kulialia tu kwamba mnamsema mbowe na dr.slaa
molemo uwezo wake wa kuchambua hoja na kuzijibu accordingly ni nusu kaputi.
Hivi kumbe iron finger ndio huyohuyo Tuntemeke! kazi unayo. Unanufaikaje na hizi siasa maji taka?me ni mwanachama asiye na mawaa wa chadema ambaye kwangu itikadi ni zaidi ya kusema ukweli na kutetea uhai wa chama
Hivi kumbe iron finger ndio huyohuyo Tuntemeke! kazi unayo. Unanufaikaje na hizi siasa maji taka?
Umeweza kutaja majina machache ya wabunge unaodai hawafanyi chochote bungeni
Huyu jamaa ameshakuja na Uzi kuhusu CDM zaidi ya nne Leo lazima kaahidiwa kitu kikubwa sana na Yule jagili la pembe za tembo
kwi! kwi! kwi! kwi! Mkuu chama lile jangili lenu nasikia wiki hii litatembelea seregeti, Ngorongoro, Mikumi pamoja na Seluu kuangalia malighafi zakemkuu Pp
Punguza jazba kaa chini fikiria uje na jibu muafaka anayeuliza anataka majibu kama huna jinyamazie!
Chama
Gongo la mboto DSM
Ndio maana nyie mkaamua kuajiri majangili ya kisomali ili wawaletee hela za kiharamia kuimarisha chama?mkuu iron finger
Hapo hakuna tatizo Mbowe na Slaa wao ndio wamehodhi matumizi ya ruzuku; hawataki kuulizwa wamegeuza Lema kuwa ndio bwana fedha sasa unaona tatizo wa kuachiwa mzigo wa kuendesha chama; na hao wawili wanatetea maslahi yao binafsi hivi kuna chadema kaskazini na chadema ukanda wa maziwa
Chama
Gongo la mboto DSM
CC: Ritz
Tunahitaji pia majina wa hicho chama kilicho outsource viongozi kutoka somaliaMkuu hii mbona alishataja!Machemli, Kasulumabayi, Dr Mbasa na profesa Kahigi
kwi! kwi! kwi! kwi! Mkuu chama lile jangili lenu nasikia wiki hii litatembelea seregeti, Ngorongoro, Mikumi pamoja na Seluu kuangalia malighafi zake
kwi! kwi! kwi! kwi! Mkuu chama lile jangili lenu nasikia wiki hii litatembelea seregeti, Ngorongoro, Mikumi pamoja na Seluu kuangalia malighafi zake
Mbowe kasusiwa chama????
Yawezekana ndio sababu ya mbowe kuanza kumuta sumaye aje amsaidie???
Duuuh mbowe naye kwa hasira ameamua kupeleka nguvu zake kwa kikwete yaani amenyoosha mikono juu na kusema kikwete wewe ndiye rais pekee niliyekuona tangu nianze siasa.
Dr.slaa yeye kazi yake ni kutoa matamko tu siku hizi tena akiwa amejifungia ofisini
dr.slaa yeye amevunjika moyo jabisa baada ya kubamizwa kwenye chaguzi za kata alipoambulia patupu kata zote alizopewa atembelee na kufanya mikutano
mkuu iron finger
Hapo hakuna tatizo Mbowe na Slaa wao ndio wamehodhi matumizi ya ruzuku; hawataki kuulizwa wamegeuza Lema kuwa ndio bwana fedha sasa unaona tatizo wa kuachiwa mzigo wa kuendesha chama; na hao wawili wanatetea maslahi yao binafsi hivi kuna chadema kaskazini na chadema ukanda wa maziwa
Chama
Gongo la mboto DSM
CC: Ritz